Nipeni jibu wajanja

baba t

New Member
Dec 3, 2008
1
0
Imezoeleka mwanaume akipata mchumba na mambo yakamwendea vyema wakaoana imezoeleka kuwa KAPATA JIKO. Je, mwanamke yeye itakuwa kapata nini?
 
Inatemea mi jiko la aina gani.
Kama ni jiko la mkaa, basi kapata mkaa,
kama ni la mchina kapata mafuta ya taa,
kama ni la umeme kapata Energy,
la gas= gas
la biogas=vinyesi
nk.
Umeridhika?

Hicho duh!
 
Wanawake wana majina mengi sana hadi saa nyingine tukitumia majina yote tunaweza sahau kama nao ni watu muhimu. Umuhimu wao tunaona pale tukianza kuwalilia ndani, "nisamehe mke wangu sirudii tena", "kweli mama watoto unaniacha?", "nakupenda mke wangu". Lakini kurudi kwenye swali lako usitafute kusawazisha majina kirahisi hivyo. Kwa mfano wanaitwa mademu, wanaume hapa tuwaite vipi? au mwanaume akiitwa buzi, mwanamke je?
 
Imezoeleka mwanaume akipata mchumba na mambo yakamwendea vyema wakaoana imezoeleka kuwa KAPATA JIKO. Je, mwanamke yeye itakuwa kapata nini?

Atakuwa kapata kitakacholifanya jiko liwake,inategemea ni jiko la aina gani?
 
Back
Top Bottom