Nipe mimi ile nakulana na mwensie !

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
979
180
Masai akiwa kwenye duka moja la vifaa mchanganyiko.

MASAI : Nipe ile iko nakulana na mwensie !

MUUZAJI : Nini shoka ?

MASAI : Hapana shoka [choka],iko natoka hapo karibu tu !

MUUZAJI : Nini tupa ?!

MASAI : Hapana tupa yeloo ! Nipe mimi !

MUUZAJI : Panga ?!

MASAI : Hapana panga ,furugafuruga mpaka napata ile inakulana na mwensie ifi ifi ifi [akionyesha ishara kama ananoa kitu].

Hapa muuzaji,akachoka na kumrundikia vitu kibao mezani achague ! Maasai kwa hasira akaokota tupa na kumgonga nayo muuzaji kichwani.

MASAI : Nasumbua mimi mida mingi kumbe iko yeye inakulana na mwensie ! Acha chesea mimi we swahili !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom