Nipe jibu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza

"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"

Nipati jibu hapo!!!
 
Kipimo tosha cha kama unajua ngeli ya ukweli au unaungaunga..hahaaaaa!
 
Ngoja nijiume ume,"Father,in which birth order am i among my siblings ?or,"Father,in which birth order am i among your children?
 
Dah! Mkuu kumbe we school bus bana halafu unadanganya ni la saba B....lol!
 
Ngoja nijiume ume,"Father,in which birth order am i among my siblings ?or,"Father,in which birth order am i among your children?

Khaa! Nimejaribu kunata na herufi imekuwa balaa! Ngoja niegemee ukuta kwanza nione kama ulimi hautajifunga pindo au kuvilia damu kwa kugombana na kidhungu! Sisi wa sekondari za kata hatuna chetu hapo... Khaaa! Vibaya jamani... Mnatutenga.
 
hahahah nasubiria watu watakavyovunja huo ung'eng'e (broken english)...mie kwa kweli sina jibu lol
 
duh nimecheki ngeli watu walizomwaga mbavu sina kabisa teh teh teh:happy:
 
hapo ungeongezea kuzaliwa mbele uone balaa lake. Yani iwe
BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI KUZALIWA?
 
Khaa! Nimejaribu kunata na herufi imekuwa balaa! Ngoja niegemee ukuta kwanza nione kama ulimi hautajifunga pindo au kuvilia damu kwa kugombana na kidhungu! Sisi wa sekondari za kata hatuna chetu hapo... Khaaa! Vibaya jamani... Mnatutenga.
watu mmepinda jamani!!!
 
Hako katoto hakana ndgze kakajihesabu kenyewe??
Kwa mwendo huo hakachekewi kumwambia baba ake kwamba mama kasema mimba ya kunizaa mm alikusingizia ni yayule muuza duka
hahahahahaha!!!!
 
Samahani wakuu kwa kidhungu basi!!!
 
Back
Top Bottom