Nipashe, Kulikoni , Gurdian Kulikoni?

Hizi thread za kichochezi hazitakiwi hapa jamvini,mods iondoeni.Hivi magazeti na vyombo vingine vya habari vinatangaza kila tukio la siku husika?
 
Je habari hii haina public interest? Mhariri gani asiyejua habari za maslahi ya kitaifa? Habari inayojadiliwa Bungeni, kwenye majukwaa ya kisiasa,na kisheria! Tanzania ina watu wenye imani tofauti wakiwa ndani ya umoja wa kitaifa. Vyombo vya habari ni kuelimisha watanzania umoja wa kitaifa, likiwemo na hili. Why not IPP media?
 
habari ya kichochezi kwa sababu imemgusa bwana......., imeigusa Ipp au kwa sababu habari inayohusu islam?,. Jibu hoja mzee usilete hooja za kijuha. Ipp kwanini hamripoti hii, au mtawakera hao
 
Je habari hii haina public interest? Mhariri gani asiyejua habari za maslahi ya kitaifa? Why not IPP media?

kwa nchi zilizoendelea kama USA na UK na hata ulaya ya bara, Vyombo vya habari wakati wa uchaguzi kwa mfano huwa vinatangaza kuwa sisi tutamsupport mgombea fulani na hatutangaza chochote cha mgombea fulani. Ni jambo la kawaida ingawa uchaguzi ni public interrest.
 
ebwana wee yaaani magazeti yote yawe yanaandika habari moja? na tv & redio zitangaze habari mamoja? tembea uone nchi zingine magazeti/media zinavyofanya kazi.

Mkuu,
Nadhani ungefanya utafiti kwanza na kujua kama ilikuwa ni habari gani kwa siku hiyo.

Kwa taarifa yako lile tukio ndiyo liliyokuwa habari kubwa katika habari za michezo kwa siku ile. Basi hata kama IPP ingeona kuwa haina umuhimu wa kuipa nafasi ya kuchukua uzito wa juu, basi ingeiripoti kama habari ya kawaida. Pia katika hali ya kawaida haiwezekani magezeti yote ya IPP, Redio na Televisheni hazikuona umuhimu wa kutoa taarifa ile ya kijamiii...KULIKOOONI?
 
Bora kuto andika kitu kuliko kuandika na jujaza ujinga. It is all well kama IPP hawaliongelei sana hili swala. If uou can't be positive about something be neutral about it.
 
Mkuu,
Nadhani ungefanya utafiti kwanza na kujua kama ilikuwa ni habari gani kwa siku hiyo.

Kwa taarifa yako lile tukio ndiyo liliyokuwa habari kubwa katika habari za michezo kwa siku ile. Basi hata kama IPP ingeona kuwa haina umuhimu wa kuipa nafasi ya kuchukua uzito wa juu, basi ingeiripoti kama habari ya kawaida. Pia katika hali ya kawaida haiwezekani magezeti yote ya IPP, Redio na Televisheni hazikuona umuhimu wa kutoa taarifa ile ya kijamiii...KULIKOOONI?

Mkuu wangu chombo chochote kina uhuru wa kutangaza au kuto kutangaza habari fulani for whatever reason iwe personal au professional. Kinacho paswa kukemewa ni habari fulani kuwekwa kiupendeleo na si habari fulani kuto kuwekwa. Hawaja vunja sheria yoyote kwa kuto tangaza habari hiyo. Na kama vyombo vingine vili tangaza basi inatosha si habari ilifika? Au unataka kusema kisa ni Manji aliyetoa msaada ndiyo maana hawa kuweka hiyo taarifa?
 
Huo ni mtizamo Finyu kwa IPP media wakati Tz hasa wasomaji wake ni pia waislam jee hawanyimi haki waislam kupata habri kama hizo?
Na sio habari hiyo tu,kuna mambo mengi hivi sasa sisi washabiki wa ipp tunakosa,hivyo inatubidi kuhaha na kutafuta pa kujikwamua na kupapata.nawaomba uongozi mzima,utufikirie sisi wapenzi wa ipp kwani,kupata habari na matukio makubwa yanayoendelea au kutokea duniani,tunawategemea zaidi wao.
Mfano,michezo,matamasha,habari za kukata na soka na mengi yanayofanana na hayo.
 
Ipp meddia siamini kama waandishi wake hawaendi kwenye conference. sasa kwanini wanaenda huko
 
Mkuu wangu chombo chochote kina uhuru wa kutangaza au kuto kutangaza habari fulani for whatever reason iwe personal au professional. Kinacho paswa kukemewa ni habari fulani kuwekwa kiupendeleo na si habari fulani kuto kuwekwa. Hawaja vunja sheria yoyote kwa kuto tangaza habari hiyo. Na kama vyombo vingine vili tangaza basi inatosha si habari ilifika? Au unataka kusema kisa ni Manji aliyetoa msaada ndiyo maana hawa kuweka hiyo taarifa?

Mkuu,
Tuwe wakweli, ni nani hapa yuko huru kuandika habari mmiliki au editors wa vyombo vyote vya IPP?

Mbona sijaona hata siku moja vyombo hivyo havikuandika matokeo ya mechi ya ligi kuu yaliyofanyika siku ya pili yake ati tu kwa sababu vyombo vingine vilikwisha ripoti mechi hiyo? au mbona vyombo hivyo vya habari vimekuwa vina ripoti juu ya sherehe za may mosi ambazo tayari zimekwisha ripotiwa na vyombo vingine? Kama hujui ni kwanini IPP haikuandika habari za Yanga siku ile bora ukae kimya au ufanye utafiti kwanza.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa mmiliki wa IPP ndiye anayeamrisha ni habari gani iende kwa wasomaji kwa kadri ya matakwa yake na wala siyo ya watumiaji wa habari. Hisia hizi zinajengwa na mafanikio aliyoyapata Yusuf Manji katika kusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi aliingia kuutatua lakini alishindwa. Hasira zake alikuja kuzimalizia kwa kukataza habari za mafanikio ya klabu ya wananchi yasitangazwe katika vyombo vyake. Upo hapo!
 
Haya bwana mkuu.
 
sasa hili la mahakama ya kadhi anaogopa nini mzee. au anaependa tz. lkn kweli anaipenda mbona kaifikisha hapa ilipo?
 
Back
Top Bottom