jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Waberoya said:Mushi nina mwasali mawili, unasema sheria kipindi hico za kuwabana zilikuwepo, leo hakuna sheria ya kuwabana wezi? na je kuna mtu anaeza akanipa rekodi viongozi wala rushwa kipindi cha JKN wangapi walienda jela? wangapi walirudisha mali? na waliofilishi mashirika walichukuliw hatua gani zaidi ya kuhamishiwa kwingineko?
Hiyo rekodi siwezi kukupa,ila tukirudi kwenye suala la msingi hapa unaonekana kukubaliana na mimi kuwa ni uongozi mbovu na wakati huo huo kudai kwamba system ndiyo mbovu,naomba tuelewena kwanza kabla ya kujaza postings hapa....Mimi nasema tunahitaji uongozi makini kwanza,na wewe unasema tunahitaji katiba mpya kwanza,sasa katiba mpya itatoka kwa viongozi hao hao unaodai tusiwabadilishe kwanza?Tafadhali lenga kwenye points ili tusipotezeane muda.
Mkuu huwa unachagua tu ni kipi cha kusoma kwenye posting unazojibu?hilo lita icost disscussion yetu,certainly in terms of understanding exactly the basics of our argument...Kifupi hakuna pahala nimekubali kuwa tunatakiwa kuanza na katiba persee!soma vyema posting mkuu,nikasema wazi kwamba kama ilivyokuwa kwenye posting ya kumjibu Rev. that the only way we can compromise on this one ni if tutakubalia kuwa they should go hand to hand,ila preferbly uongozi mpya kwanza,then katiba mpya,viongozi wale wale na katiba mpya ni sawa na kuomba mchango wa damu kutoka kwa marehemu!Pia sikuelewe unapodai eti nime confirm kuwa hao viongozi ninaotaka wachukue nafasi za ccm ndiyo wabovu,i have failed to understand the overall objective of your statement.2. Kama umekubali kuwa tunatakiwa kuanza na Katiba, yet hawaifanyii kazi huoni kuwa una-confirm kuwa hawa viongozi unaotaka wachukue nafasi za CCM ndiyo wao wabovu ? they dont know which is the right thing to do?
Au unafikiri kwa hali hii ya OS na ni kwa namna gani, lini, tunaweza kusema tunaiondoa CCM serikalini? Ikiwa hatuna vision ya kuwa na techniques ya kuiondoa CCM kwa mipango na malengo bila kujali bahati huoni hao ndio viongozi wanaotakiwa?
Angalia hii satement yako hapo juu inavyokinzana na hizo za awali,na pia nimeshindwa kabisa kuelewa una maanisha nini kwenye highlights,sasa unasema nime confirm kuwa hao viogozi watakao wareplace mafisadi nao ni wabovu,halafu hapo hapo unauliza namna ya kuiondoa ccm madarakani,sasa unataka nijibu nini hapo?
Je unaweza kuniaminisha vipi kuwa Chadema au NCCR etc wakiingia madarakani hatawakula rushwa? na je wakila rushwa our solution at that time itakuwa nini, KUJARIBISHA CUF? Hw3a akina Slaa wenyewe wameshaprove failure ndani ya chama chao, japo hili huwa hamtaki kusikia, kama kuna mtu mmoja anawa challenge ndani ya chama, leo hii mkishika taifa si hatari! we need systems ya kuweza kuangaliana wakati watu wanafanya kazi na maamuzi na system hiyo ni serikali ya mseto! sisi ni wezi kuanzia ngazi ya masecretary na mamesenja-tusijifanye hatujui haya mambo, ufusadi nchi hii hauanziaa CCM! WE ARE LIVING in a criminalised society, na mafisadi walioko ngazi za juu ndiyo wanaowalea wa ngazi za chini, yet tunataka tuwahubirie OS wale wa ngazi ya chini na kati!!??? wa ngazi ya kati wengi hawana mpango hata na siasa wana kula na kunywa! wenyeviti wa vijiji wengi nchi hii wanaingia na nyumba za nyasi kwenye mauongozi yao na kutoka na nyumba za mabati na matofali makali!
Mkuu nimeshasema hapo awali,pitia posti yangu ya nyuma utaona,kuuliza maswali kama hayo ambayo kama umepitia kwa makini posting yangu iliyopita nimeiweka wazi pointi hiyo,nani mwenye kuweza ku guarentee kwamba kiongozi akiingia madarakani atafanya exactly this ama that?
Lazima kuna general direction ambayo a nation must take! and only until then tutatambua ni kiongozi gani tunamuhitaji,kwamba atayafanya hayo hakuna anayejua kwa hakika,na ndio maana nilisema watapimwa kwa matendo yao,na jibu langu kuhusiana na solution kama viongozi tutakaowachagua hawatafanya waliyoyaahidi ni kubadilisha na kujaribu wengine wenye kuonyesha matumaini,yes change ndiyo solution......Kwani hao wengine si watanzania wenzetu? Nani kasema nchi ya kifalme hii?Mnascrutinize as if what we have is the best?!I will replace what we have probably with almost anything leme be honest with you bro! I am tired!Tuko in a wrong direction kwa ujumla na kwahivyo siamini kwamba the leaders we have are the best we can get!
Mentality kwamba tulicha nacho ama viongozi tulio nao ndio nafuu ni backwards na hiyo ndiyo imetukwamisha,we never dare to change no wonder you branded you selves......."ndivyo mlivyo!?"
Inaonekana sababu zilizowafanya wengi wetu waikimbie nchi either ziko pale pale ama zimekuwa worse!