Nionavyo mimi: Slaa ndiye Rais ajaye

I have got friends and I know People.
Katika marafiki zangu wote na watu nilionao karibu, Hakuna hata mmoja anaipenda CCM.
Sijui wewe mwana Jamvi katika marafiki zako ni wangapi kura yao iko CCM?
Kwa mtazamo huu, Kwangu mimi Slaa Ndiye atashinda.Sijui walioko vijijini!


Siyo swala la kupenda au kutopenda hapa; hakuna anayetaka kuolewa na Slaa ama candidate wa CCM hapa.
Issue ni nani anafaa kuitoa Tanzania katika hili shimo la dhambi shida na matatizo.

Kama ni SLAA basi na tumpe kura za NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
:amen::amen::amen:
 
Back
Top Bottom