nionavyo mimi bora tuwe na serikali ya uwajibikaji zaidi

parmena mpande

New Member
Jul 22, 2012
3
0
wana jf kwa mara nyingine naungana nanyi kwenye jf ili kutoa dukuku zangu kama mtanzania ili kwa pamoja tujenge nchi yetu ,tanzania itajengwa na watanzania wazalendo tu na si vinginevyo,kwa maoni yangu ili tuweze kwenda mbele kwa kasi kimaendeleo ipo haja kuweka mapendekezo katika katiba ijayo kwamba tuwe na serikali yenye kuwajibika zaidi kwa maana ya utendaji kwa umma na sio kwa wana siasa , wao wabakie katika kupanga sera na kuomba ridhaa ya kuongoza nchi katika chaguzi mbalimbali ,hapo impact ya bunge, mahakama itaonekana ipasavyo
 
Back
Top Bottom