Nioe, nisome au nipige kazi?

Ukikua utajua nini cha kuanza, sasa hivi naona ungo wa kiume unakusumbua, tumia sabuni
 
Kwani ukioa huwezi kufanya kazi au kusoma?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukioa bila kazi hutaweza mtunza mkeo, itakua ngumu kufanya kazi bila kusoma so nakushauri usome, upate kazi then uoe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom