The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Baba wa mtoto akija kumsalimia mtoto hali itakuwaje.?
Anamsalimia kawaida kumbuka nawe ni mzazi pia
Baba wa mtoto akija kumsalimia mtoto hali itakuwaje.?
Never trust anything used.
ucpende kuhukumu kwa usichokijua waweza kuta alibakwa au ndo wanaume uchwara wamemwaribia maisha tusipende kuweka fallacy conclusion mi ni mwanamke na wanayotendea wanawake na baadhi ya wanaume yananikera sana ya kuwapa ujauzito na kuwatelekeza halafu vilaza wengine wanaongea ***** tu.
Whatever the case, as long as amezaa, she does not qualify to be married by a non married man. I also sympathize with you to what some stupid men do to our daughters. Anyway sometimes ni suala la mila. mila zingine kuoa mwanamke aliyezaa ni laana, I will never opt for one. Ma Dou dou, pole sana seems you are a victim of these unprincipled men. by the way, Vilaza ni nini dada?
Yeye mwenyewe ni USED
umenena vema hapo ktk redthe man amewahi kuoa bt the wife died,coni ubaya kwa hawa wawili kuanza maisha mapya, history zao zinaendana kwa kiac fulani mie naona wanamatch,what matters ni true love,kuheshimiana na amani..
Whatever the case, as long as amezaa, she does not qualify to be married by a non married man. I also sympathize with you to what some stupid men do to our daughters. Anyway sometimes ni suala la mila. mila zingine kuoa mwanamke aliyezaa ni laana, I will never opt for one. Ma Dou dou, pole sana seems you are a victim of these unprincipled men. by the way, Vilaza ni nini dada?
the man amewahi kuoa bt the wife died,coni ubaya kwa hawa wawili kuanza maisha mapya, history zao zinaendana kwa kiac fulani mie naona wanamatch,what matters ni true love,kuheshimiana na amani..
Mi si victim kaka ila wanaonizunguka ndo victim inaniuma sana vilaza ni watu wasiojua chochote mi nawachukulia kama watu wasio na upeo wa kufikiri
Huyo mwanamke kama alizaa na mtu mwingine je huyo mwanaume yuko hai? na kama yuko hai ni nini sababu za wao kutokuwa pamoja? hapa mjomba unaingia choo kike, ni ngumu sana watu kuyagunduwa makosa haya hasa ukiwa tayari umeshaonjeshwa tunda la katikati.
Hivi pata picha siku huyo binti yake siku anaolewa sasa mpo kwenye shereha za harusi halafu pale mbele high table mke wako anakaa na mwanaume mwingine maana ndio baba mzazi wa huyo binti!......kuna fedheha nyingine huwa tunazitafuta wenyewe.
Asante sana kwa ushauri wako.mungu akubariki.Mke wangu alifariki wakati anajifungua mtoto wetu wa pili.