Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

Unajua watu wengine tuna shindwa kujua vichwa vyetu vina uwezo gani wa kuhimili kinywaji? mimi na tumia Serengeti Baridiiiiii! mbili tu,asubuhi na amka niko fresh sana,chakufanya wewe changua kinywaji ambacho unaona akikupeleki sana uwe unatumia hicho kwa uchache sio lazima unywe bia 3 au ni unaweza kunywa bia mbili then unaenda kulala zako.kama ushauri wangu hautakusaidia na kuchauri uache POMBE MARA MOJA!
 
Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.

sio kweli kwamba kama haunywi pombe unakuwa mke /mume mzuri! hiyo takwimu umeipata wapi? kwa taarifa yako kama mtu sio mlevi wa pombe basi atakuwa na kaulivi kengine labda anapenda warembo/mabrazamen N'k.
 
Mzee mi nashauri kunywa maaza juice. Ni nzuri, ni tamu! Si lazima kunywa beer. Pia ni vema kunywa ukiwa unapata nyam, supu na maji ya kunywa. Usikaange mwili na pombe tupu.
 
sio kweli kwamba kama haunywi pombe unakuwa mke /mume mzuri! hiyo takwimu umeipata wapi? kwa taarifa yako kama mtu sio mlevi wa pombe basi atakuwa na kaulivi kengine labda anapenda warembo/mabrazamen N'k.

Mkuu sio kweli kwani kama mtu sio mlevi wa pombe lazima uwe mlevi wa kitu kingine. Je umefanya kautafiti wowote umeufanya na kuja na hiyo hitinisho??
 
burlp... hic hic... Piga Tusker Bariiiidi!!!! 3 hakuna Mning'inio wa ziada wala nini... Tafadhali usisikie ushauri wa wanaokuambia uache Bia... Ni tamu asikuambie mtu... bia ina sifa nyingi Drink Beer save Water...Lol
Ndimi Mdau Tusker Bariiiidi...
 
mie nimempata sana huyu bw. ye atakacho ni kunywa tuu! na asipate hang over! so mi namshauri kwanza ajaribu kumix hizo aina zote za bia ambazo kashatumia then aende kuji hang then baada ya muda fulani habari yake ingekuwa over! nafkiri hii habari ingeletwa na m2 mwingine tena, ni poa hiyo enh! if mo mning'inizo jus tafuta kining'inizo! salaam mjomba!!
 
mimi kuna dawa huwa inanisaidi sasa sijui kwako. baada ya kunywa fanya SEX alafu kunywa maji walai utaamka ukiwa bomba sawa na aliyekunywa HEINEKEN
 
Kunya VALEUR BRANDY ndio kiboko unaamka kama vile jana ulikunywa maji tu, lakini ni kali sana Mkuu
 
Kwani lazima unywe pombe ndiyo uonekane wa maana? Mtindio na wenzake wamekueleza; ACHANA KABISA NA BIA.

Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.

hapo unatuchanganya, hivi mtu ale nyama choma kavukavu hivihivi, kinywaji??
after all bia ni nzuri kuliko soda na energizers (marta, redbull nk) watu wanaugua BP kwa kutumia energizers bila kujua
bia inatokana na malt (ngano/uwele/ulezi nk) unajua soda inatokana na nini?
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Bia inataka a mlo pia. hiyo yako ni njaa sio hangover.
 
Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.
Wacha longo longo wewe!
 
burlp... hic hic... Piga Tusker Bariiiidi!!!! 3 hakuna Mning'inio wa ziada wala nini... Tafadhali usisikie ushauri wa wanaokuambia uache Bia... Ni tamu asikuambie mtu... bia ina sifa nyingi Drink Beer save Water...Lol
Ndimi Mdau Tusker Bariiiidi...

mkuu mbona nasikia hizi zinaharibu nguvu!??? huwa unakumbuka lakini kucheki kama mambo yako sawa????
 
Kwanza ninakushauri uachane nakitu kinaitwa pombe, plz kunywa MAZIWA NA SHARUBATHI tu.
Ukishidwa haya bia ya kunywa na ambayo mara nyingi haina mning'inio ni POMBE yeyote ambayo hawaongezi sukari ya miwa, bali hutumia sukari iliyomo ktk shayiri au mtama/ mahindi (kimea) kinachotumika kuitengeneza pombe hiyo, kwa pia mfano ni bia toka SBL na pombe za kwetu jaribu MBEGE.
Wape HIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom