Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

Kashaija

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
255
58
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.
 
Mkuu kunywa bia ya heikeni, haina hang over kabisa nilitwanga kumi wakati niko high table wakati wa harusi yangu, nilikuwa bomba kinoma, na hasubuhi niliamka mapema toka hotelini kwenda kusalimia wazee nyumbani.
Pata hiyo,haina noma.
 
Sasa wewe kama Kilimanjaro inakuletea hang over basi tu acha pombe..haikufai mkuu.
 
Mheshimiwa pole. Kama bia zote unazokunywa zinakuletea hangover, jaribu kunywa Bia aina ya Serengeti the Kick
 
Mkuu mi naona kichwa chako tu mi nakunywa safari nikinywa Tusker zinanifanya hovyo.
Jaribu kunywa hata Konyagi basi,
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Huko kote wengine tulishapita sana.....ni kweli unapata hang over the next day!

Mwisho wa matatizo .....NDOVU SPECIAL MALT au Stella Artois au Henken (bt expensive).....ndovu bei yake ni kawaida....haina hangover kabisa....try then utanipa majibu!
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Pata alcohol free beers kama vile Bavaria etc pombe hazikufai wewe!
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Pata Whiskey tu. Jaribu Jack Daniel, Vodka, Sambuca, Trambiu, etc
 
ushauri wangu pumzika kwa muda kama miezi 6 halafu uaanze na zile zilizo light kabisa
 
bia yoyote ni poa, ili usipate hangover usinywe beer nyingi on an emty stomach. Make sure that you take snacks, bites or a light meal in the drinking sessions. Do not forget to drink water, half a litre or a litre before sleeping.
 
wadau naona mme base upande mmoja tu, jamaa inawezekana kichwa chake hakiendani na hizi beer rasmi za viwandani. Mkuu mi nakushauri si lazima unywe hizi bia rasmi, hebu jaribu kutumia mbege au common ama hata kimpumu, kama we brazamen unaweza hata ukatumia Kibuku iko poa na yenyewe pia.

I can assure you, kinywaji kama common huwezi kuwa na hang over hata ukinywa pipa zima!!
 
Vuta Bangi, haina hang over pia ni rahisi kupatikana na bei yake kwa kweli ni nafuu uklilinganisha na ulevi mwingine.
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

...kunywa Ze Bingwa! au wamesimamisha production?
 
Oya Bia ni kili....cha msingi kunywa maji kabla ya kulewa na kabla ya kulala....

Nasisitiza tena bia ni KILI
 
Duh, pole sana mkuu.. kunywa banana wine, ile kwanza bei poa then ni ndizi halisi. Enhehee, juzi nimeiona moja iko mbezi pale inaitwa RESPECT! Hazina neno.
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Kwa kweli kuna vichwa tofauti ambavyo usahimifu wake katika kunywa beer/lager unatofautiana sana.
Kwanza kabisa kabla ya kunywa huwa unakula unashiba?au unazitandika bila kula msosi wa nguvu kama ndivyo basi ujue hangover itakuwepo tu.Pili huwa unakunywa bia ngapi mpaka keshoyake upate hangover?moja,mbili,tatu au crate?
majibu ya haya maswali yatasaidia kukupa mawazo mazuri.kama hata nia moja inakupa hangover basi bia huziwezi kunywa soda kwenda mbele tena bamboocha.
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.

Kwani lazima unywe pombe ndiyo uonekane wa maana? Mtindio na wenzake wamekueleza; ACHANA KABISA NA BIA.

Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom