Ninyi Mawaziri wa CCM, lini mtaacha kutudanganya Watanzania?

Masakata

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
374
137
1.Toka siku ya J4, wiki hii sehemu kubwa ya wakazi wa DSM tunaotegemea maji toka mtambo wa Ruvu chini, hatuna maji kabisa hadi muda huu navyotuma hii post,licha ya tangazo la Mh.Maghembe kupitia taarifa ya habari ITV,siku ya Ijumaa saa 2 usiku kwamba maji yataanza kutoka baada ya saa 12 (nadhani toka tangazo hilo litoke)

Cha ajabu,sasa saa karibu 50 zimeshapita hakuna cha Maji wala Upepo,khali ni mbaya sana hasa maeneo ya huku Kawe naTangi bovu,nadhani kipindupindu nacho hakipo mbali,

2.Waziri wa zamani wa Fedha nae alilidanganya bunge juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CHC,nadhani kamati ya Mh.Zitto watamshughulikia huyu Mr.Mkullo

Sasa nawauliza ninyi mawaziri wa Magamba hivi uwongo mtaacha lini? au ndio kibri cha madaraka au kwa kuwa ninyi familia zenu hamjui mgawo wa maji..kama hii wizara nayo imekushinda Mh.Maghembe achia ngazi..MNAKERA SANA!
 
Mkapa kama Rais alikuwa na mapungufu yake lakini huyu mkweree kweli kazi imemshinda kakalia kutuibia tu mpaka MwanaAsha sasa ananatutukana kwenye facebook kuwa ukoo wao sasa UMASKINI NDIO BASI; RICH FOREVER!!!
 
Acha wawatukane maana waTz mmezidi kwa uoga na kubaki kusemea yaliyo moyoni mwenu katika mitandao.
The unseen is illustrated by the seen.
 
1.Toka siku ya J4,wiki hii sehemu kubwa ya wakazi wa DSM tunaotegemea maji toka mtambo wa Ruvu chini, hatuna maji kabisa hadi muda huu navyotuma hii post,licha ya tangazo la Mh.Maghembe kupitia taarifa ya habari ITV,siku ya Ijumaa saa 2 usiku kwamba maji yataanza kutoka baada ya saa 12(nadhani toka tangazo hilo litoke)cha ajabu,sasa saa karibu 50 zimeshapita hakuna cha Maji wala Upepo,khali ni mbaya sana hasa maeneo ya huku Kawe naTangi bovu,nadhani kipindupindu nacho hakipo mbali,
2.Waziri wa zamani wa Fedha nae alilidanganya bunge juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CHC,nadhani kamati ya Mh.Zitto watamshughulikia huyu Mr.Mkullo
Sasa nawauliza ninyi mawaziri wa Magamba hivi uwongo mtaacha lini? au ndio kibri cha madaraka au kwa kuwa ninyi familia zenu hamjui mgawo wa maji..kama hii wizara nayo imekushinda Mh.Maghembe achia ngazi..MNAKERA SANA!

Mkuu tafadhali nitake radhi kwa kusema unakosa maji kipindi hiki na wakati mimi kila siku nanunua maji. Kwa mwezi kama laki na ushee hivi. Tabata segerea.
 
1.Toka siku ya J4,wiki hii sehemu kubwa ya wakazi wa DSM tunaotegemea maji toka mtambo wa Ruvu chini, hatuna maji kabisa hadi muda huu navyotuma hii post,licha ya tangazo la Mh.Maghembe kupitia taarifa ya habari ITV,siku ya Ijumaa saa 2 usiku kwamba maji yataanza kutoka baada ya saa 12(nadhani toka tangazo hilo litoke)cha ajabu,sasa saa karibu 50 zimeshapita hakuna cha Maji wala Upepo,khali ni mbaya sana hasa maeneo ya huku Kawe naTangi bovu,nadhani kipindupindu nacho hakipo mbali,
2.Waziri wa zamani wa Fedha nae alilidanganya bunge juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CHC,nadhani kamati ya Mh.Zitto watamshughulikia huyu Mr.Mkullo
Sasa nawauliza ninyi mawaziri wa Magamba hivi uwongo mtaacha lini? au ndio kibri cha madaraka au kwa kuwa ninyi familia zenu hamjui mgawo wa maji..kama hii wizara nayo imekushinda Mh.Maghembe achia ngazi..MNAKERA SANA!

Rais mwenyewe mwongo, waziri mkuu mwenyewe alishashutumiw bungeni kwa uongo na mpaka leo hakuna taarifa zozote kuhusu ushahidi uliotolewa na Mh. Godbless Lema (Spika anapotezea ili kumuokoa Waziri mkuu). Sasa unategemea waziri ataogopa kudanganya kama mabosi wake wanadanganya mchana kweupe?
 
Mkapa kama Rais alikuwa na mapungufu yake lakini huyu mkweree kweli kazi imemshinda kakalia kutuibia tu mpaka MwanaAsha sasa ananatutukana kwenye facebook kuwa ukoo wao sasa UMASKINI NDIO BASI; RICH FOREVER!!!
hii post ya zamani ila sikuwa nimeiona, kumbe alisema hivyo? Na kaka yake namwona anaendeleza vijembe huko FB hata baada ya kuingia mjengoni. Kuna siku watajibu hayo majigambo yao ya uswahilini.
 
1.Toka siku ya J4, wiki hii sehemu kubwa ya wakazi wa DSM tunaotegemea maji toka mtambo wa Ruvu chini, hatuna maji kabisa hadi muda huu navyotuma hii post,licha ya tangazo la Mh.Maghembe kupitia taarifa ya habari ITV,siku ya Ijumaa saa 2 usiku kwamba maji yataanza kutoka baada ya saa 12 (nadhani toka tangazo hilo litoke)

Cha ajabu,sasa saa karibu 50 zimeshapita hakuna cha Maji wala Upepo,khali ni mbaya sana hasa maeneo ya huku Kawe naTangi bovu,nadhani kipindupindu nacho hakipo mbali,

2.Waziri wa zamani wa Fedha nae alilidanganya bunge juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CHC,nadhani kamati ya Mh.Zitto watamshughulikia huyu Mr.Mkullo

Sasa nawauliza ninyi mawaziri wa Magamba hivi uwongo mtaacha lini? au ndio kibri cha madaraka au kwa kuwa ninyi familia zenu hamjui mgawo wa maji..kama hii wizara nayo imekushinda Mh.Maghembe achia ngazi..MNAKERA SANA!

Wasamehe wamechanganyikiwa. Uhakika wa kurudi awamu ya 5 inafifia kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom