Nini wabunge soma marupurupu ya mkurugenzi wa ppf erio loh;hutosoma tena jf

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,101
Pamoja na kuwafukuza mameneja watatu kwa kutoa siri zake siri imeshafichuka na huu ndio upuuuzi wa malipo ya mkurugenzi wa ppf mr erio

mshahara million 12 kwa mwezi
posho ya malazi million 4 kwa mwezi
posho ya mafuta million 1.2 kwa mwezi

pamoja na mafuta kulipwa gari hujazwa full na serikali
aidha kila baada ya miaka mitatu hupew million 540 pamoja na kupewa million 108 na samanai za millioni 60 aidha

hapa palinifanya niende kujisaidia nilipohisi mkojo haja kubwa ikaja gafula kwa kweli
.
Amekuwa akitumia asilimia 50 ya kazi zake kusafiri nje ya nchi
per diem yake ni 1,820,000 siku anaondoka mpaka anrudi uwanja wa jnia
akiwa na safari za ndani analipwa laki tano yaani 500,000 kwa siku na kumfanya kuwa mafanyakazi anaetumia fedha nyingi kuliko rais wa nchii tanzania
 
pole sana mkuu kwa kupata haja ndogo na kubwa kwa mpigo kwasababu ya vijisenti vya bwana erio.
 
Hayo matumizi yake yatakuwa yanapata baraka za bodi ya ppf, na pia yatakuwa kwenye ripoti za external auditors na CAG. Cha muhimu ni kusoma report za CAG na kujua comment yake kuhusu hayo matumizi na maamuzi ya minister responsible. Otherwise kama hamna evidence kwenye hizo report huu utakuwa tu ni uzushi wa mtaani.
 
hii tz tutasikia mengi ya kuudhi kutia hasira na kuumiza kichwa. heli nihame nchi niende kwa kagame. kukaa na watu asilimia90 walalamishi na wanaobaki ndio wanaoweza kuchukua hatua siwezi.MKITAKA NIBAKI NCHINI TUITISSHE MAANDAMANO HATUMTAKI RAIS, WAZIRI MKUU, CAG, NEC ROSTAMU.
 
Hayo matumizi yake yatakuwa yanapata baraka za bodi ya ppf, na pia yatakuwa kwenye ripoti za external auditors na CAG. Cha muhimu ni kusoma report za CAG na kujua comment yake kuhusu hayo matumizi na maamuzi ya minister responsible. Otherwise kama hamna evidence kwenye hizo report huu utakuwa tu ni uzushi wa mtaani.

rejao bana, acha hizo bana.....
Kwani CAG hakukagua mijihela ya wizara ya nishati na madini?

We acha jamaa akamate mihela hiyo...acheni wivu wa kike.
 
Sitakuja kufanya kazi ya serikali kwa ufanisi mpaka siku mishahara itakapofanyiwa marekebisho makubwa na ya kmantic
 
rejao bana, acha hizo bana.....
Kwani CAG hakukagua mijihela ya wizara ya nishati na madini?

We acha jamaa akamate mihela hiyo...acheni wivu wa kike.
Hahahah...mi sina wivu naye. Nawashangaa wanaomlamu Erio. Kama sheria iliyoanzisha mfuko wa ppf imeruhusu kiinua mgongo cha DG kila baada ya miaka mitatu, mwache apate haki yake, otherwise hiyo sheria ifanyiwe amendment.
Safari ni kitu cha kawaidia wa fanyakazi wa taasisi za uma.kwa hili siwezi kukomment chochote.
 
rejao bana, acha hizo bana.....
Kwani CAG hakukagua mijihela ya wizara ya nishati na madini?

We acha jamaa akamate mihela hiyo...acheni wivu wa kike.

bora wivu wa kike tulionao kuliko wivu wako wa mashoga unamtamani na kakayako aku do
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom