Nini Ukweli Kuhusu Habari Hii kutoka Misri

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Kumekuwa na habari ambayo imezagaa kwenye mitandao mbalimbali na baadhi ya vyombo vya habari likiwamo gazeti la Kisiwa la Agosti, 17.
Habari hii inahusu Joka kubwa lilomeza watu zaidi ya 320 kukamatwa bahari ya Sham.
Nini ukweli kuhusu habari hii ?
Snake.jpg
 
Hamna ukweli wowote, kuwa makini na hawa jamaa wa gazeti la kisiwa.
 
Mimi niliiona hii kutoka tovuti ya gazeti la mwananchi, nadhani inaukweli, kilichosemwa ni kuwa nyoka huyu ameshaua idadi hiyo ya watalii na maderva kadhaa. Naamini kuna ukweli.
 
Mimi niliiona hii kutoka
tovuti ya gazeti la mwananchi, nadhani inaukweli, kilichosemwa ni kuwa
nyoka huyu ameshaua idadi hiyo ya watalii na maderva kadhaa. Naamini
kuna ukweli.

Ni kweli haiwezekani akawa anabugia watu wote hao kwa mpigo! angetumaliza! Wamtafute na mwenzie a u wenzie hawezi kuwa amejizaa!
 
Ngoja ni mwite st paka mweusi afanye maombi hapo kuna mkono wa freemason kabisa!
 
Back
Top Bottom