Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

mnh.JPG
...Muhimbili hapo...

610x.jpg
...Amana hapo, Note hivyo viti...(!)

DSC00253.jpg
...we acha tu...:D mpaka kulee darini, 'mwendo mdundo tu!'

View attachment untitled.bmp
...Mt. Meru Hospital... phhheeeewwww!

20080218_1z4g2668-515h_1_.jpg
...all smiles...huh(?)
 
Zakumi,
Mkuu hakuna mtu mwenye emotions ni swala la kueleweshana tu. Kuna mawili unajua au hujui na ktk kubadilishana mawazo ndipo tunapofikia kutambua wapi ukweli wa hoja nzima.. Mimi kila siku husema kuwa hapa JF sio swala la kushinda Ubishi au ushindani fulani isipokuwa ni ktk kutaarifiana habari chungu nzima zenye mitazamo tofauti ili kupata hoja yenye manufaa kwetu..
Umeuliza swala la wapi hizo pesa zinatoka!...sio?..
Nitakujibu -zinatoka nje!..sijui hapa una maana gani unapouliza hivyo kwani hata mimi nina kimradi changu mbuzi - fedha zimetoka Benki ni mkopo (creditline)ambao natakiwa kuurudisha kwa interest..
Hakuna nchi yoyote duniani imeweza kujenga miundombinu yake kwa fedha zilizoko mfukoni mwao au mtaji kushuka toka mbinguni..mtaji unatoka sehemu fulani na hata huo mpango wa stimulus ya Obama wanategemea zaidi China mdeni wao mkubwa ktk deficit yao lakini tofauti kubwa kati ya Marekani na sisi ni kwamba Marekani wanafanya BIASHARA na China wakati sisi tunapewamtaji hakuna biashara isipokuwa rudisha fedha zetu kwa interest ya blaa blaaa blaa...

Kitu kimoja muhimu sana nilitaka Uelewe ni kwamba Nyerere alitumia mikopo ile kujenga miundombinu yetu, mifano ni mingi sana toka Uwanja wa ndege JKN na Kili, viwanda, mabarabara, nguvu za Umeme (dams) na kadhalika ni kama vile alipanda mbegu za uchumi wetu..na watu kama nyie mlitegemea tu kwamba tukipanda kesho tutavuta.. ndio maana kila siku mnataka kujua wakati wa Nyerere tulivuna kitu gani badala ya kutazama tulipanda nini..
Mimi mkuu wangu ni mtoto wa mkulima, nakumbuka miaka yetu ya 60s na 70s tulikuwa kukilima Pamba huko Mwibara - kuna miezi 10 ya shida tupu unapoanza kulima, toka kupalilia Pamba, kulima matuta, kupanda mbegu, kupalilia tena, kumwagilia dawa namwisho kuvuna hiyo pamba huwa nyumba nyingi zinavunjika kwa sababu ni shida tupu ndani ya miji mingi..
Lakini inapofikia wakati wa kuvuna ndipo furaha yote hutokea na kusahau matatizo yote yaliyotangulia..kibaya ktk mawazo yenu mkuu wangu mnajaribu kupima starehe za wakati wa kulima Pamba yaani wakati wa Nyerere na wakati huu wakina Mkapa ambao wameacha ukulima na kuchukua mkondo mwingine wa Ubangaizaji wa kuchenji dollar!..Kweli inawezekana kabisa kuwa leo hii tuna cash mkononi kila siku lakini ndio tumepoteza kabisa vipaji, nguvu na malengo ya mtu anayetaka kuwa na mwelekeo kimaisha.. hatuna uchumi sustainability hakuna mkuu wangu na ndio maana tunaibiwa kila siku..
Ebu fikiria kitu kimoja wakati wa mwalimu, hata kama budget yetu ilitegemea misaada kwa asilimia 40, matunda yake yalionekana na tulifahamu kuwa serikali yetu ndiye baba ndiye mama kiuchumi..bad pilicy yet tulifahamu fedha inakwenda wapi, leo hii hiyo misaada ya asilimia 40 ktk budget inakwenda wapi wakati wizara hazifanyi uzalishaji tena!.. tumebakiwa na kulipa mishahara tu ya wafanya kazi wa serikali ambao hawana kazi tena maanake wizara kazi nyingi za idara za serikali ya zamani siku hizi zinafanywa na wananchi zaidi kwa mashrika yanayojitegemea. Where the monies go!!.. hakuna muundombinu wa maana ambao tunaweza kusema tumeujenga labda hilo daraja to nowhere na Uwanja wa Mpira..wakati tumeshindwa kuuendeleza hata Uwanja wa ndege wa Dar, Kili upate kulingana na wakati..hata kuongeza runaways tu imekuwa shida jibu lao hatuna UWEZO... wakati mabillioni ya fedha yakiibiwa kila siku na ushahidi mkubwa kuliko vyote ni hizi dhamana walizoweza kulipa watuhumiwa wetu..Hakuna tajiri hata iwe Marekani anayetakiwa kuweka dhamana ya diollar millioni 50 kesho yake akaja na jibu!..Kwa Tanzania ni swala la muda tu.. damn bob fikiria tunakwenda wapi...
 
Last edited:
Zakumi,
Mkuu hakuna mtu mwenye emotions ni swala la kueleweshana tu. Kuna mawili unajua au hujui na ktk kubadilishana mawazo ndipo tunapofikia kutambua wapi ukweli wa hoja nzima.. Mimi kila siku husema kuwa hapa JF sio swala la kushinda Ubishi au ushindani fulani isipokuwa ni ktk kutaarifiana habari chungu nzima zenye mitazamo tofauti ili kupata hoja yenye manufaa kwetu..
Umeuliza swala la wapi hizo pesa zinatoka!...sio?..
Nitakujibu -zinatoka nje!..sijui hapa una maana gani unapouliza hivyo kwani hata mimi nina kimradi changu mbuzi - fedha zimetoka Benki ni mkopo (creditline)ambao natakiwa kuurudisha kwa interest..
Hakuna nchi yoyote duniani imeweza kujenga miundombinu yake kwa fedha zilizoko mfukoni mwao au mtaji kushuka toka mbinguni..mtaji unatoka sehemu fulani na hata huo mpango wa stimulus ya Obama wanategemea zaidi China mdeni wao mkubwa ktk deficit yao lakini tofauti kubwa kati ya Marekani na sisi ni kwamba Marekani wanafanya BIASHARA na China wakati sisi tunapewamtaji hakuna biashara isipokuwa rudisha fedha zetu kwa interest ya blaa blaaa blaa...

Kitu kimoja muhimu sana nilitaka Uelewe ni kwamba Nyerere alitumia mikopo ile kujenga miundombinu yetu, mifano ni mingi sana toka Uwanja wa ndege JKN na Kili, viwanda, mabarabara na kadhalika ni kama vile alipanda mbegu za uchumi wetu..na watu kama nyie mlitegemea tu kwamba tukipanda kesho tutavuta.. ndio maana kila siku mnataka kujua wakati wa Nyerere tulivuna kitu gani badala ya kutazama tulipanda nini..
Mimi mkuu wangu ni mtoto wa mkulima, nakumbuka miaka yetu ya 60s na 70s tulikuwa kukilima Pamba huko Mwibara - kuna miezi 10 ya shida tupu unapoanza kulima, toka kupalilia Pamba, kulima matuta, kupanda mbegu, kupalilia tena, kumwagilia dawa namwisho kuvuna hiyo pamba huwa nyumba nyingi zinavunjika kwa sababu ni shida tupu ndani ya miji mingi..
Lakini inapofikia wakati wa kuvuna ndipo furaha yote hutokea na kusahau matatizo yote yaliyotangulia..kibaya ktk mawazo yenu mkuu wangu mnajaribu kupima starehe za wakati wa kulima Pamba yaani wakati wa Nyerere na wakati huu wakina Mkapa ambao wameacha ukulima na kuchukua mkondo mwingine wa Ubangaizaji wa kuchenji dollar!..Kweli inawezekana kabisa kuwa leo hii tuna cash mkononi kila siku lakini ndio tumepoteza kabisa vipaji, nguvu na malengo ya mtu anayetaka kuwa na mwelekeo kimaisha.. hatuna uchumi sustainability hakuna mkuu wangu na ndio maana tunaibiwa kila siku..
Ebu fikiria kitu kimoja wakati wa mwalimu, hata kama budget yetu ilitegemea misaada kwa asilimia 40, matunda yake yalionekana na tulifahamu kuwa serikali yetu ndiye baba ndiye mama kiuchumi..bad pilicy yet tulifahamu fedha inakwenda wapi, leo hii hiyo misaada ya asilimia 40 ktk budget inakwenda wapi wakati wizara hazifanyi uzalishaji tena!.. tumebakiwa na kulipa mishahara tu ya wafanya kazi wa serikali ambao hawana kazi tena maanake wizara kazi nyingi za idasra za zamani siku hizi zinafanywa na wananchi. Where the goes!.. hakuna muundombinu wa maana ambao tunaweza tumeujenga labda hilo daraja to nowhere na Uwanja wa Mpiara..lakini tumeshindwa kuuendeleza hata Uwanja wa ndege wa Dar, Kili upate kulingana na wakati..hata kuongeza runaways tu imekuwa shida jibu lao hatuna UWEZO... wakati mabillioni ya fedha yakiibiwa kila siku na ushahidi mkubwa kuliko vyote ni hizi dhamana walizoweza kulipa watuhumiwa wetu..Hakuna tajiri hata iwe Marekani anayetakiwa kuweka dhamana ya diollar millioni 50 kesho yake akaja na jibu!..Kwa Tanzania ni swala la muda tu.. damn bob fikiria tunakwenda wapi...

Mkandara:

Imani yangu ni kuwa uchumi ni lazima upande na kuporomoka. Na vilevile uchumi ni lazima ujisahihishe wenyewe baada ya kuporomoka.

Misaada inaweza kuleta maendeleo iwapo watumiaji wake wanaelewa nini wanachofanya.

Lakini misaada na mikopo ikitumika vibaya ni sawa na matumizi ya steroids kwa mwanariadha ambaye hana talents.

Matumizi yetu ya misaada, mikopo na grants ni steroids. Kwa maana imeshindwa kuanzisha uchumi ambao utakuwa sustainable kwa kipindi kirefu. Na vile vile ushindwa misingi ya uchumi kujisahihisha wenyewe pale matatizo yanapotokea.

Toka nimepata akili sijaona uchumi wa Tanzania ukianguka na baadaye kurudi katika hali yake ya zamani bila kutumia steroids ya misaada.

Umesema kwenu mnalima pamba. Kuna kipindi ukame unapita na wakulima hawapati kitu. Lakini msimu unafuatia wanaweza kulima na kupata vitu vya kuwarudisha katika hali ya kawaida. Mfano huu ni lazima utumike katika serikali pia.

Nikirudi kwenye posti yako. Mambo mengi yaliofanyika miaka ya nyuma yanatakiwa yawe case study kwa maendeleo ya nchi kwa sababu mbili. Kwanza mikopo ilitumika kwa nia nzuri sana na kwa kipindi kifupi tu ilileta mabadiliko makubwa sana. Lakini deni na riba ya mikopo ilikuja kuharibu karibu mafanikio yote yaliopatikana kwa muda mfupi.

Kwa mfano vipindi vya Mwinyi na cha mwanzo cha Mkapa; nchi ilikuwa inalipa madeni ya robo billioni USD. Malipo ya madeni yalizidi bajeti ya elimu na afya.

Najua utakaa suala la madeni. Lakini madeni ni kitu kibaya sana. Ni kweli nchi ilisomesha watu wengi kuliko mkoloni. Lakini wasomi hao wakikuta nchi haina pesa na inalipa madeni, hakuna watakachofanya.

Sasa hivi nchi imesamehewa madeni, na tumeanza kufanya spend spree tena. Mara vitambulisho. Mara kila kijiji kiwe na sekondari.
 
Zakumi,
Hapa mkuu wangu tuko pamoja kabisa na ndilo somo ambalo kila siku nalifungia njuga... Umeeleza vizuri sana na kibaya zaidi ni kwamba sisi badala ya kutumia yaliyopita kama case study kila siku tunayatumia kama sababu ya kuturudisha nyuma hata kama mvua zinanyesha!..
Shukran mkuu...hizo expenditure zinazopewa vipaumbele, sijui rada, vitambuliusho, mashangigi na ujenzi wa barabara kutazama viongozi wanaishi wapi ndizo zinazotuweka ktk fungu la NDIVYO TULIVYO..hakuna sababu nyingine!
Ohh! samahani, na kuhusu madeni mkuu wangu madeni ni lazima hayaepukiki isipokuwa misaada ya kusubiri kukatiwa na nchi tajiri kama wale omba omba misikitini ndicho kilema nisichokubaliana nacho mimi... Kama madeni yanatokana na biashara zetu na nchi tajiri hakuna shaka ndivyo uchumi unavyojengwa iwe kwa nchi shirika au mtu binafsi... tusiogope madeni ila tufahamu tuna invest wapi fedha hizo!..
 
Last edited:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom