Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

Dar Es Salaam,
Please, Hivi wewe kweli unafikiria hayo maendeleo unayoyaona kwa watu nyumbani bila ndugu/marafiki zao nje tungefika hapo tulipo..
Trust me mkuu, kila kitu unachokiona madukani, mitaani na kwingineko kuna Mtanzania aliyeko/ anaishi nje anahusika...

I beg to differ!! Kuna watu wanaishi huko vijijini hawana ndugu nje ni wachapa kazi tu wanafanikiwa kwa jasho lao, mimi ni mfano wa matunda ya jasho la abcestors wangu, God bless their souls. Shida watanzania wengi ni wavivu wanapenda vya rahisi rahisi.
 
Jiji la DSM halikupaswa kuwa lilivyo, kwani lina pesa nyingi sana , kwa mfano kwa mwaka 2007 bajeti ya Jiji iliyokaguliwa na CAG inaonyesha kuiwa hawa jamaa in total walitengewa 84 bln.

wakati wizara ya mambo ya nje wanazo 72 bln.

Tatizo hapa ni ufisadi na mafisadi waliopo kazi ya kufikiria jinsi ya kuliendesha jiji hawana ila kila mmoja anawaza jinsi anavyoweza kujiongezea nyumba, magari ,n.k bila hata kujali kuwa mvua ikinyesha hana sehemu ya kulipitisha hilo gari lake.

JIJI ZIMA WATU WANAKUFA KIPINDUPINDI............LINAPASWA LIWE KIJIJI KWANI NI AIBU KUBWA SANA KUWA WANASHINDWA KUZIBUA MITARO HADI KIPINDUPINDU KINAANZA .
 
Kwani sasa tusirudi CCM na tukipata nafasi tufanye mapinduzi ndani ya CCM ???

Kuna mNigeria alijifanya ameokoka na kukaa na mwanamke wa kizungu kwa zaidi ya miaka mitano. Pale mzungu alipomwani tu jamaa alikusanya pesa zote na kuanza.

TumuombE mwanakijiji arudi CCM na ajitulize tu. Na siku wakimpa nafasi aanze kuleta CHECHE.

Wewe humpendi MMM kwanza ili apate nafasi itabidi wamwamini kuwa ni muumuni mwenzao wa dini yao ya kifisadi. Vinginevyo ni unga unga na kupewa mic, si unakumbuka ya Kolimba!
 
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar
mafuriko3.jpg
mafuriko4.jpg

Nimeangalia hii picha nikawaza kitu kimoja: faida za kuishi na kufanya kazi ng'ambo kidogo.

Inaonekana kuna mashangingi ya mabosi hapo nje (labda Director General au Waziri etc.) kwa maana kwamba mkulu nae akitoka jengoni atapita hapo hapo, atapaona vizuri. Nikawaza ningekuwa mimi ndo mkulu hapo ningefanyaje, ningeamrisha watu walambe maji, au ningepiga simu Hazina walete hela za kuzibua mabomba mara moja, na hela zenyewe zipo? Au ningeona haya ni mepesi mepesi sana hayanihusu, after all maji yatakauka by the weekend? What is one to do?

Nikakumbuka ukitana na vi situation vya hazard hazard kama hivi maboxini kuna standard protocol ya cha kufanya. Kwenye majengo mlangoni kuna ka concierge desk wamebandika namba za watu wa kuwa contact kwenye vi situation kama hivi. Moto, polisi, ambulance, mpaka animal control kama kipaka kikipenyeza kikaingia mjengoni. Above all, kuna namba ya maintenance manager wa jengo. You see any hazardous situation you call the fella, anybody can call, even during after hours. If the dude doesn't pick up the phone there is whole list of who to call next and what not. The maintenance guy is supposed to know what to do, has the budget for paying the Joe Plumber who is gonna come unplug the clogged pipes or the city construction crew and what not. I am talking 24-7, 365 days, X-mass day, Independence Day, the guy on call better pick us his damn phone, cause the phone bill is paid for.

Sasa sijui Bongo kuna watu wa maintenance ya jengo?

Au sijui kwa Tanzanian realities mafundi wa kuzibua conduit pipes nao ni utaalam ambao hatuna, au ni mimi niko out of touch? Au sijui hiyo concrete slab hapo (sijui udongo ule) imejengwa bila egress mechanism ku remove rain water pools? Basi kama hatunao hao wahandisi, na hatuna licensing officials wanaojua hivi vitu basi tulifunge lile li chuo pale Ubungo.

Tunakaa tunaimba University of DSM ranked this and that, bullcrap! Hakuna mainjinia wa kukumbuka kujenga vimitaro vya kutoa maji kwenye concrete pavement mpaka wafanyakazi wanatandika ma forklift palette chini?
 
Kuhani.. unaenda mbali sana utaumia kichwa.

Solution iko hapo hapo kwenye picha na watu wameridhika nayo. Why desire more?
 
Kuhani.. unaenda mbali sana utaumia kichwa.

Solution iko hapo hapo kwenye picha na watu wameridhika nayo. Why desire more?

Heheheee...hebu mcheki huyo mwenye tai hapo kwenye geti la kushoto...mwenye kakuwekea mikono mfukoni....inavyoelekea wala hata hana concern yoyote kuhusu hiyo mimaji michafu. Usikute mwenzio anawaza.....akitoka hapo ataenda kontena kupata mbili baridi zake na mishikaki...halafu huyoooo anarudi nyumbani.

Nawaambieni Miafrika Ndivyo Tulivyo hamtaki....

Halafu...hali kama hii msidhani ipo Tanzania tu....niliwahigi kwenda Yaoundé, Cameroun....tofauti ilikuwa lugha tu!
 
Tatizo kubwa ni kwamba Tanzania bado inatawaliwa na kundi la watu wachache (wala nchi) ama Tanzania ni mali yao. Wananchi wa Tanzania hatukupata uhuru toka kwa Mkoloni bali watu wachache (wala nchi) ndiyo walipata uhuru. Hawa wala nchi wana maisha mazuri ya kupindukia na wanapata kila kitu wakitakacho. Wengine wamefika uwezo wa kununua majumba ya kifahari nje ya Tanzania. Kinachoendelea leo hii ndani ya Tanzania si rahisi kukirekebisha na kitarekebishika basi itachukua muda mrefu sana tokana na hawa wala nchi hawatakubali kamwe mabadiliko kwa manufaa yao binafsi.
Tanzania inapata pesa za kutosha kabisa kujiendesha na kuwa na miundo mbinu bora, elimu bora, matibabu bora nk. Lakini hawa wala nchi wanachukua kila kitu kwa ajili yao na watoto wao hivyo kuiacha nchi katika hali ya kutisha kama mapicha yanavyoonesha.
Wananchi wa Tanzania inabidi tuanze upya kupigania uhuru wetu na kuwaondoa hawa wala nchi wachache ambao wanatumia "utanzania" katika kujenga himaya zao ama inchi nyingine tajiri ndani ya Tanzania. Na mbaya zaidi hawa wala nchi wana waachia watoto wao urithi wa kuendelea kuiba.
Wananchi wa Tanzania hawako uhuru bali ni watumwa ndani ya Tanzania. Uhuru wa kweli tutaupata pale tutakapoweza kugawana mapato ya taifa letu sawa na kuwa na vipaumbele katika malengo ya Taifa letu.
 
kutembelea au kutotembelea nchi za nje wala sio hoja. if you got "it" then you got "it", if you don't then you don't, hence Ndivyo Tulivyo

Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?

Bro, ukiwa unashuka-shuka pale Kipawa hisia inayokupata baada ya kuona mpangilio wa nyumba - inasikitisha na ni ngumu kuelezeka. Niko tayari mara 100 nione mpangilio wa nyumba za vijijini asilia zilizoezekwa kwa nyasi kuliko hizi zilizo ndani ya "commercial capital city"..... zenye "hadhi" ya kuitwa nyumba lakini zimejengwa kiholela.
 
Tatizo kubwa ni kwamba Tanzania bado inatawaliwa na kundi la watu wachache (wala nchi) ama Tanzania ni mali yao. Wananchi wa Tanzania hatukupata uhuru toka kwa Mkoloni bali watu wachache (wala nchi) ndiyo walipata uhuru. Hawa wala nchi wana maisha mazuri ya kupindukia na wanapata kila kitu wakitakacho. Wengine wamefika uwezo wa kununua majumba ya kifahari nje ya Tanzania. Kinachoendelea leo hii ndani ya Tanzania si rahisi kukirekebisha na kitarekebishika basi itachukua muda mrefu sana tokana na hawa wala nchi hawatakubali kamwe mabadiliko kwa manufaa yao binafsi.
Tanzania inapata pesa za kutosha kabisa kujiendesha na kuwa na miundo mbinu bora, elimu bora, matibabu bora nk. Lakini hawa wala nchi wanachukua kila kitu kwa ajili yao na watoto wao hivyo kuiacha nchi katika hali ya kutisha kama mapicha yanavyoonesha.
Wananchi wa Tanzania inabidi tuanze upya kupigania uhuru wetu na kuwaondoa hawa wala nchi wachache ambao wanatumia "utanzania" katika kujenga himaya zao ama inchi nyingine tajiri ndani ya Tanzania. Na mbaya zaidi hawa wala nchi wana waachia watoto wao urithi wa kuendelea kuiba.
Wananchi wa Tanzania hawako uhuru bali ni watumwa ndani ya Tanzania. Uhuru wa kweli tutaupata pale tutakapoweza kugawana mapato ya taifa letu sawa na kuwa na vipaumbele katika malengo ya Taifa letu.

Tunachohitaji ni aina fulani hivi ya dikteta (kama kuna aina), mpenda maendeleo, anayejali haki za binadamu, mwenye uchungu na nchi yake na mwenye maono....mimi naamini kabisa kuwa katika kipindi cha miaka 10 akitokea mtu wa namna hiyo, nchi inaweza kubadilika in a good way nakuwa nchi yenye matumaini na si kinyume.
 
Nkamangi,
Nadhani hatuna haja ya kutoka ktk mada hii isipokuwa nitakuuliza tu unaishi mji gani na unafanya shughuli gani! kisha nitakupa jibu kutokana na hoja yangu hapo juu..
 
mafuriko3.jpg
mafuriko4.jpg

Nimeangalia hii picha nikawaza kitu kimoja: faida za kuishi na kufanya kazi ng'ambo kidogo.

Inaonekana kuna mashangingi ya mabosi hapo nje (labda Director General au Waziri etc.) kwa maana kwamba mkulu nae akitoka jengoni atapita hapo hapo, atapaona vizuri. Nikawaza ningekuwa mimi ndo mkulu hapo ningefanyaje, ningeamrisha watu walambe maji, au ningepiga simu Hazina walete hela za kuzibua mabomba mara moja, na hela zenyewe zipo? Au ningeona haya ni mepesi mepesi sana hayanihusu, after all maji yatakauka by the weekend? What is one to do?

Nikakumbuka ukitana na vi situation vya hazard hazard kama hivi maboxini kuna standard protocol ya cha kufanya. Kwenye majengo mlangoni kuna ka concierge desk wamebandika namba za watu wa kuwa contact kwenye vi situation kama hivi. Moto, polisi, ambulance, mpaka animal control kama kipaka kikipenyeza kikaingia mjengoni. Above all, kuna namba ya maintenance manager wa jengo. You see any hazardous situation you call the fella, anybody can call, even during after hours. If the dude doesn't pick up the phone there is whole list of who to call next and what not. The maintenance guy is supposed to know what to do, has the budget for paying the Joe Plumber who is gonna come unplug the clogged pipes or the city construction crew and what not. I am talking 24-7, 365 days, X-mass day, Independence Day, the guy on call better pick us his damn phone, cause the phone bill is paid for.

Sasa sijui Bongo kuna watu wa maintenance ya jengo?

Au sijui kwa Tanzanian realities mafundi wa kuzibua conduit pipes nao ni utaalam ambao hatuna, au ni mimi niko out of touch? Au sijui hiyo concrete slab hapo (sijui udongo ule) imejengwa bila egress mechanism ku remove rain water pools? Basi kama hatunao hao wahandisi, na hatuna licensing officials wanaojua hivi vitu basi tulifunge lile li chuo pale Ubungo.

Tunakaa tunaimba University of DSM ranked this and that, bullcrap! Hakuna mainjinia wa kukumbuka kujenga vimitaro vya kutoa maji kwenye concrete pavement mpaka wafanyakazi wanatandika ma forklift palette chini?

.....haiishii hapo tu: nyuma kidogo ya hayo majengo kuna majengo ya over USD 300million....(BoT twins!) yanayotegemea mitaro ya maji machafu ya mwaka 1947, supply ya maji masafi ya miaka ya 50, n.k. n.k vya miaka ileeee population ya Dar ilikuwa under 500,000......... Hilo kama halisikitishi... watu (vibosile) kwenye majengo hayo hayo wanategemea usafiri wa mabenzi na ma vx ya mwaka 2006!!! Twisted Priority!
 
sisi tumeridhika tangu longtaiiiimu. Tunaruka hatua za maendeleo. Tunaacha wengine wanahangaika, sisi tunabypass steji ya utafiti. kwa mfano tumeruka simu za ndani hadi mobile, mitandao iko richebo (heheee, hivi hapo hatujampiga bao mmarekani?).
Tukimaliza ID, tunampango wa kuweka CCTV uswahilini.

...:) :) umeshatoa wazo kwa "wenyewe".... BEHOLD; huu mradi unakuja!
 
Kwa maoni yangu ID cards ndio za mwisho kuhitajika katika picha zote. Kwanza miundombinu. JF Kennedy alisema ni miundombinu ndio ilijenga amerika na sio amerika ndio iliyojenga miundombinu.

Nadhani hii issiue ya ID cards serikali iliikosea wakati ilipotengeneza vitambulisho vya kupiga kura mwaka 2005. Wakati huo serikali ingeuwa ndege wawili kwa wakati mmoja kwa kutengeneza kitambulisho kimoja kwa shughuli zote mbili, yaani utaifa na kupiga kura. Hapo tungeokoa gharama na kuepukana na skandali zilizojitokeza.

Ni vision inahitajika.........bila kujua nchi hii tunataka kwenda wapi mambo mengi tutakuwa tunapiga marktime tu.

Lakini na sisi wananchi nadhani tuna asilimia kubwa tunayochangia kwenye hizi messes kwa kuwa kwetu waoga wa kuhoji, kudai na kuwawajibisha viongozi wetu. May be uelewa ni mdogo au tatizo ni nini wenzangu mnisaidie.
 
Watanzania kwa sasa naona tunahitaji zaidi kusikiliza kesi za mafisadi ambazo kwa mtu anaefikiri kwa kina kirefu anagundua ni SIASA TUPU!

honestly,nakuappreciate sana mwanakijiji!YOU THINK BIG.imani yangu ni kwamba kizazi hichi cha sayansi na teknolojia kinachotembelea tovuti hii kitaleta mabadiliko.Naamini ndani ya mtandao huu viongozi wengi sana WA KESHO wanazifuatilia makala nyingi zinazorushwa humu.

HALLA!
 
Pole pole tutafika tatizo tunataka vitu haraka haraka sana.
Kama ndo hivyo inabidi wakoloni warudi tena watujengee miundo mbinu.
 
Tatizo ni uongozi pia hatuna vipaumbele,na hatujui nini tunahitaji kama nchi,ila la kusikitisha zaidi ni kwamba,hakuna anayetaka kuwajibika kila mmoja analalamika na kumtupia mwenzake lawama,,,,,we should fighty for our country

Priorities tunazijua sana! Mbona kwenye theory mi huwa naona kama huwa hamna hata wa kutu-beat! Tatizo lililopo tuko MALICIOUS, when it comes to practical. Kwanza theory inatengenezwa (KWA MAKUSUDI, SI KWA MAKOSA AU KUTOKUJUA) kiasi cha kuacha loopholes ambazo zitafanya execution iwe ambiguos. Kwa hiyo mtu akiexecute duty A akatoa product C na mwingine aka-execute the same duty A akatoa D, wakati ambapo KM THEORY isingekuwa ambiguos walitakiwa wote watoe a unique product D, wote wanakuwa wako sawa na hawana makosa.
ALWAYS TUNATENGENEZA MAZINGIRA YA KUHARIBU KWA MAKUSUDI.ILA TATIZO SI KUWA HATUJUI PRIOTIES KWAN HAIIHITAJI HATA DARASA LA SABA! MTOTO MWENYEWE ANATOKA TUMBONI HATA DAKIKA HAIPITII ANAFAKAMIA ZIWA LA MAMA (PRIORITY), IJE IWE SISI WATU WAZIMA, HATA KM HATUJAWAHI KABISA KUGUSA KITABU?
 
Its very shamefull, we are in 2009 and yet we don't know what is our priorities? Please don't tell me.

Priorities tunazijua sana! Mbona kwenye theory mi huwa naona kama huwa hamna hata wa kutu-beat! Tatizo lililopo tuko MALICIOUS, when it comes to practical. Kwanza theory inatengenezwa (KWA MAKUSUDI, SI KWA MAKOSA AU KUTOKUJUA) kiasi cha kuacha loopholes ambazo zitafanya execution iwe ambiguos. Kwa hiyo mtu akiexecute duty A akatoa product C na mwingine aka-execute the same duty A akatoa D, wakati ambapo KM THEORY isingekuwa ambiguos walitakiwa wote watoe a unique product D, wote wanakuwa wako sawa na hawana makosa.
ALWAYS TUNATENGENEZA MAZINGIRA YA KUHARIBU KWA MAKUSUDI.ILA TATIZO SI KUWA HATUJUI PRIOTIES KWAN HAIIHITAJI HATA DARASA LA SABA! MTOTO MWENYEWE ANATOKA TUMBONI HATA DAKIKA HAIPITII ANAFAKAMIA ZIWA LA MAMA (PRIORITY), IJE IWE SISI WATU WAZIMA, HATA KM HATUJAWAHI KABISA KUGUSA KITABU?
 
Ndio maana mimi naamini kuwa tatizo letu kubwa ni viongozi wetu; akili zao zote ziko kwenye kushinda uchaguzi na si kuwaletea watu maendeleo. Hivi sasa kipaumbele chao kiko kwenye mradi wa vitambulisho na sio kuboresha shule, zahanati na miundombinu, kama hizo picha zinavyoonyesha; kwasababu kwenye vitambulisho ndio kwenye EPA yao ya 2010!! Tumuombe mwenyezi atuletee muujiza nchi yetu ikombolewe kutoka kwa hawa mafedhuli.
 
Last edited:
Wazo la SERIKALI ZA MAJIMBO toka kwa CHADEMA si baya. Ni wazi kila mtu kisha ona kushindwa kwa SERIKALI KUU kusimamia RASILIMALI zetu na badala yake wanafuja pesa zetu kwa kujinunulia mashangingi, safari za kutibiwa nje, nk.
Serikali kuu imeshindwa toka 1961 hadi leo, sioni kwa nini wengine waone au wawe na matumaini kua itafanikiwa tu. Sana sana wanasubiri JAPAN watujengee.
 
Back
Top Bottom