Nini tofauti ya Nape na Tabwe Hiza?

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Msaaaaada tafadhari.

nimekuwa nikimsikiliza nape kwa makini , sijahi kubahatika kumuelewa , na pia shida hiyo hiyo nayopata kwa nape , pia nilikuwa naipata kwa Tabwe hiza . sasa naomba msaada hivi hawa jamaa wanatofauti yoyote ya utendaji, uropokaji. uwezo wa kufikiri na pengine hata ki elimu?
. nitafurahi ikiwa nitaelezwa .

Wasalaam
 
Tambwe Hizza hajui kucheza kiduku wakati Nape anajua kucheza kiduku
 
Sijui kwa kweli,Nakumbuka kuona picha akiwa india masomoni,kule michuzi blog
sawa , yaani ukimsikiliza january makamba, mnyika yaani utapenda, wanauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kamwe huwezi kutilia shaka taaluma zao. lakini ukimsikiliza huyu mshikaji ............................ kuna j2 moja nilikuwa mwanza nikamsikia akihutubia , ni aibu tupu aliongea vitu vya ajabu kabisa , namnukuu ( msipokuwa makini hawa wapinzani siku moja watawaambia inameni) sijui alimanisha nini
 
  1. nape mnafiki tambwe mjinga
  2. nape ana bachelor tambwe ana cheti
  3. nape vuvuzela tambwe kasuku
  4. nape ana sera feki tambwe mbabaishaji
  5. nape mamluki wa ccm tamwe kibaraka wa cuf
  6. nape ni mdau wa ccj tambwe mdau cuf.
  7. yote 9 lakini ukimsikiliza nape unaweza ukatapika km una akili timamu coz ana ushamba flani lkn tambwe aah ana kanafuu kwa mbali km wasira
 
mkuu naona uko sahihi maneno yako yanaukweli kama mtu akitafakari
 
Similarities:
1.Wote mavuvuzela na wabwabwaji
2.Wote wanafiki na wanajifanya wajuaji
3.Wote ni mambumbumbu

Differences:
1.Nape ana degree while Hizza hana
2.Gamba la ccm katibu mwenezi hizza sio
3.Nape ni mrefu kidogo kuliko tambwe
 
Back
Top Bottom