Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
SI KWELIwebsite na blog hazitofautiani chochote, zote ni website.
Kwa hali ilivyo sasa ni website chache sana zinaweza kuwa bila blog ndani yake.
Blog si sawa na website. ngoja nikupe tofauti ya tovuti na blogu.
ili iitwe blog lazima uwekaji wake wa taarifa uwe in chronological order either ascending or descending. taarifa mpya itakuwa juu huku zikirudi nyuma.
wakati
website au tovuti ni mkusanyiko wa kurasa, picha, video, makabrasha na skripti mbalimbali ambayo hutumika kufikisha taarifa husika kwa kundi husika. mfano pdf files. doc. ppt. flash sites. html files etc.
blog ni sehemu ya tovuti. ila website si sehemu ya blog
mfano rahisi: mwanzo wakati software wordpress ikiitwa b2evolution ilikuwa ni blog tu. ila kutokana na maendeleo ya teknolojia wordpress sasa sio blog tu. inaweza kugeuzwa kuwa kitu kingine kama mtandao wa kijamii. nk.