Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

mkuu hutaua watu na presha mkuu! Watu tuna stress na magamba.....

Click link hii hapa chini, na uangalie tofauti ya hizo picha mbili utakazoziona..

Note: Usifungue kama una-hisi una pressure

http://www.susya.ru/flash/fvp.swf

Ahaaa...!!

Mbona haitishi, cha mtoto hicho .Wengine tumepambana na misukule itakuwa hii

Shenzi kabisa! usirudie tena kuweka midude kama hii.inawezekana unafuga misukule nyumbani kwako.pumbaaafffffffffffffffffffffffffffffffffffu!!!!!!!!

daaaah ujasiri wangu wote kwishney maana nili concetrate ili nizione tofaut mara !@#$%^&^T%$#,,,,,, balaa hilo msifungue hasa hasa kama sauti ya lap top ipo juu

imegoma kufunguka lakini imenitisha sana.ntajitahidi kuifungua kesho hadi ifunguke.mia

Mbona haitishi, cha mtoto hicho .Wengine tumepambana na misukule itakuwa hii

hata mie nashangaa wanalalamika hata wanaume. hii ndo dalili vijana wa siku hizi hamna ujasiri kabisa. hivi ushaona wapi hatari inakuja kwa kuambiwa/kutaarifiwa? sisi wa mara hata sijashangaa ila nimeishia kucheka tu hahahaaaaaaaaa...........

hapa cm yangu haifungui ila kwa haya matusi i can imagne inavotisha!
Ukianza kuiona utasema huyu jamaa amasema nitoe tofauti kati ya picha hizo huku ukiwa unatafakali linkauja lidude fulani la kutisha ubaya ni kuwa ni lazima utakuwa hujjaiandaa hivyo kukushitua na kama una pressure ndiyo balaa.

Back
Top Bottom