Nini tofauti kati ya Plasma, LED na LCD flat screen TV??

Mkuu nisikize mimi:
Uchaguzi wa Flat TV Screen

1.Uzuri wa Picha:plasma ni best kuliko zote hizo LED na LCD.(Sielezea technology used coz wadau washaelezea)

2.Durability:::LCD inadumu sana kuliko LED,the worst ni Plasma.

3.Flexibility::LED ni Nyembamba compared na nyingine

For myside kama unataka kununua Flat TV mpya na sio mtumba nakushauri ununue Plasma ina quality bomba kinoma na unaweza kuitumia kwa miaka hata 30,kama used nunua LCD.
 
Madini haya aisee maana bado nipo kwenye chogo technology
 
Ila PLASMA ni Tubelight kwahiyo ikishaisha zile Running Hours inazima ghafla ila kwa Quality ya Picha ni BOMBA.
Mkumbushe pia inakula umeme zaidi ya frij ukipungua tu haliwaki, mimi nina tv led 43 inches umeme unapingua taa zinazma ila yenyewe inawaka kama kawaida naedelea watch movie.
Jirani ana plasma linakula umeme frij haiono ndani lenyewe tu kwa siku linakula almost unit 3-4
 
Haya mateknolojia yanakimbia mno tatizo lake. Sasa hivi the latest ni 3D siyo LED tena! Ukizifuatilia utakuwa unanunua after few years!
Hapa utakuwa umechanganya mkuu !hiyo 3D display source yake ya light itakuwa humo humo kwa wakina LCD LED and Plasma
 
Sumsung wana 8k. Kuna MicroLED na OLED hizi ndiyo teknolojia za kisasa kwa sasa. Huko tuendako sijui itakuwaje, mambo yanachange kila leo.
Vifaa vya umeme sio vya kushindana navyo!!.. Unaweza jipinda nunua 8K ukaambiwa juzi imetoka 12K!.
 
Back
Top Bottom