nini tofauti kati ya Mkoba na Ulimboka ??

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
mahakama ya kazi toka kuanzishwa kwake haijawahi kutamka mgomo wowote ule dhidi ya serikali kuwa halali, leo hii
mkoba anapowaambia waalimu watii amri ya mahakama ya kazi alikuwa na maana gani kuwaingiza ktk mgomo in the first place wakati anajua wazi serikali itakwenda kwa maajenti wao kuwaelekeza kusimamisha mgomo.

nashindwa kumuelewa mkoba kwamba hayuko tayari kuisikiliza wizara ya elimu lakini yuko tayari kuisikiliza mahakama ya kazi ambayo inaendeshwa kwa mkono wa serikali hiyo hiyo ?? shujaa ulimboka aliliona hili lakini dhaifu mkoba hakuliona. kama ulikuwa huko tayari kuisikiliza mahakama kwanini ulianzisha mgomo in the first place??

ushauri binafsi kwa mkoba.
siku zote unapoanzisha mgogoro naserikali basi uwe tayari kupambana na serikali na maajenti wake wote ikiwemo mahakama ya kazi kama alivyofanya ulimboka ama sivyo utakuwa unawapotezea walimu na wanafunzi muda wao
bure kwa kitendo chako cha kukataa amri ikitolewa na mkono wa kushoto lakini huko tayari kutii amri ikitolewa na
mkono wa kulia.
 
Mkoba ameshinda, kwa mara ya kwanza walimu wamefanikiwa kugoma na mgomo ukiwa na mafanikio ya 95%. Serilikali imeona nini walimu wanaweza kufanya. Mahakama imewalazimisha walimu kurudi kazini wakiwa tayari wametoa funzo kwa serikali. Hongera sana Mkoba kwa umakini wako kwani sasa mtakapo rudi kwenye meza ya mazungumzo upande wa pili wataacha dharau zao za awali. Achana na mawazo finyu ya wachangiaji wa humu wanaotaka uendeshe mgoma kama wa vyuo vikuu ambapo mwisho wa siku huishia kuwafukuza au kuwasimamisha masomo wahusika.
 
mahakama ya kazi toka kuanzishwa kwake haijawahi kutamka mgomo wowote ule dhidi ya serikali kuwa halali, leo hii
mkoba anapowaambia waalimu watii amri ya mahakama ya kazi alikuwa na maana gani kuwaingiza ktk mgomo in the first place wakati anajua wazi serikali itakwenda kwa maajenti wao kuwaelekeza kusimamisha mgomo.

nashindwa kumuelewa mkoba kwamba hayuko tayari kuisikiliza wizara ya elimu lakini yuko tayari kuisikiliza mahakama ya kazi ambayo inaendeshwa kwa mkono wa serikali hiyo hiyo ?? shujaa ulimboka aliliona hili lakini dhaifu mkoba hakuliona. kama ulikuwa huko tayari kuisikiliza mahakama kwanini ulianzisha mgomo in the first place??

ushauri binafsi kwa mkoba.
siku zote unapoanzisha mgogoro naserikali basi uwe tayari kupambana na serikali na maajenti wake wote ikiwemo mahakama ya kazi kama alivyofanya ulimboka ama sivyo utakuwa unawapotezea walimu na wanafunzi muda wao
bure kwa kitendo chako cha kukataa amri ikitolewa na mkono wa kushoto lakini huko tayari kutii amri ikitolewa na
mkono wa kulia.
Dr. Martin Luther King Jr. Aliliona mapema, akawaambia watu wa 'type' ya Mkoba : "If you are not ready to die, don't go to a war" Mkoba ameingia vitani huku akijua kuwa hayuko tayari kufa. Na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Fisi Mkoba na Shujaa Ulimboka.
 
Kwa muoga huenda kicheko, kw shujaa huenda kilio. Wako wapi akina Nkya, Bisimba na CDM waliokuwa nyuma ya ULIMBOKA? hongera Mkoba kwa kushtukia dili mapema.
 
Mmoja alichagua career na mwingine alichaguliwa career na jamhuri...

Mmoja ni mpambanaji mmoja ni coward..

Mmoja ni jasiri wa asili,mmoja ni wasiwasi,

Mmoja ahongeki,mwingine anahongeka...

Maamuzi ya mkoba yanazidi kudhihirisha kuwa walimu ni watu waliofeli katika steji moja ama nyingine ya elimu...
 
Hapo penye red ndio jawabu sahihi kabisa........polisi nao wanaangukia kwenye category hiyohiyo.......!
 
mkoba ni mfuko wa kubebea vitu vidogo vidogo na mara nyingi hubebwa na wa mama zaidi. ulimboka kama uliondoa neno ka mwishoni husomeka ulimbo. kazi ulimbo ni kukuamatia ndege na wadudu wengine ulitegwa. sasa ukisema ulimboka una maana ulimbo umepitiliza. kama ni ugali basi umeiva ukaivika.
 
mkoba ameonyesha udhaifu sana mimi niliona wangekaza boot maana nchi hii inaongozwa kisanii sana
 
Huyu Mkoba aliwahi kupigwa ngumi na wenzake baada ya kusema mgomo umesitishwa na mahakama miaka iliyopita lakini hajifunzi,walimu wakitaka mafanikio waachane na CWT
 
mahakama ya kazi toka kuanzishwa kwake haijawahi kutamka mgomo wowote ule dhidi ya serikali kuwa halali, leo hii
mkoba anapowaambia waalimu watii amri ya mahakama ya kazi alikuwa na maana gani kuwaingiza ktk mgomo in the first place wakati anajua wazi serikali itakwenda kwa maajenti wao kuwaelekeza kusimamisha mgomo.

nashindwa kumuelewa mkoba kwamba hayuko tayari kuisikiliza wizara ya elimu lakini yuko tayari kuisikiliza mahakama ya kazi ambayo inaendeshwa kwa mkono wa serikali hiyo hiyo ?? shujaa ulimboka aliliona hili lakini dhaifu mkoba hakuliona. kama ulikuwa huko tayari kuisikiliza mahakama kwanini ulianzisha mgomo in the first place??

ushauri binafsi kwa mkoba.
siku zote unapoanzisha mgogoro naserikali basi uwe tayari kupambana na serikali na maajenti wake wote ikiwemo mahakama ya kazi kama alivyofanya ulimboka ama sivyo utakuwa unawapotezea walimu na wanafunzi muda wao
bure kwa kitendo chako cha kukataa amri ikitolewa na mkono wa kushoto lakini huko tayari kutii amri ikitolewa na
mkono wa kulia.

ulitaka waalimu wasiheshimu mahakama?
 
Hitla alisema think twice before you make decision and after you make decision don't turn back even if you face challenges.
Kifupi kabla yakuanzisha mgomo alitakiwa kua na planizote A , B na C. Hapainakua kama vile amekuruku na hakuna faida aliyopata kwani madaiyao yapo palepalE na hayata tekelezwa tena
 
KAKA UMESEMA KWELI! SERIKALI YA RAISI LEGELEGE NA DHAIFU LAZIMA KILA KITU KIWE DHAIFU! SO WAALIMU WAENDELEE KUGOMA MPAKA HILO LIjk LITAKAPOKIMBIA IKULU.
 
Back
Top Bottom