Nini tofauti kati ya maneno haya?

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Wana JF Hola!! Nimekua nashindwa kutofautisha maneno haya, pengine kuyatumia bila itifaki.

1. Kunyang'anya Vs kupokonya
2.kung'ata Vs kuuma like kuumwa na mbu
3. Kupora Vs kukwapua.

Naombeni mtaalam wa kiswahili aniambie ni maneno yapi kati ya hayo hapo juu yatumike katika muktadha fulani,
Kwa ujumla Nisaidieni
 
hizo tunazihita sinonimia huru...huweza kuingiliana kimaana usipokuw hutofautiana ktk matumiz ya kifaa/zana iliyotumika kutendea jambo na dhamira ya mtendaji.

kunyang'anya na kupora uambatana na matumiz ya silaha na dhamira lakin kwny kupokonya na kukwapua haimbatani na matumiz ya silaha/zana nk.
mf: majambaz au wezi wenye silaha na dhamira wanapofanya uharifu huwez kuripoti " upokonyaji na ukwapuaji kwa kutumia silaha unaongezeka kwa kasi jijin dar es salaam" usahihi wa hiyo srntens kama utatumia maneno mbadala ambayo n unyanganyi na uporaji kwa kutumia sila......
 
Back
Top Bottom