nini tofauti kati 32 bit and 64 bit

wadau naomba msaada katika kutofautisha windows za 32 bit na 64 bit

Nitrajibu kuelezea kwa mfano rahisi na lugha nyepesi .

Tofauti ya 32 na 64 ni sawa na tofauti kati ya barabara ya njia moja na ile na njia mbili au tofauti kati ya bara bara ya njia mbili na ile ya njia nne.

Tofauti kubwa iliyopo itekniki kwenye computer ni performance. Mengine yote ni sawa kama ilivyo kwenye bara bara ya njia nne gari mbil mbili au tatu tatu zinakwened sambamba ulekeo mmoja kwa wati mmoja.

Teknolojia ya 64 bit imewezekana kuingizwa kwenye Desktop na laptop sababu imezidi kuwa nafuu, na uvumbuzi unafanya vifaa kuendeleea kuwa vidogo zaidi. Kabla ya hapo 64 bit zilikuwa zinatumika toka zamani kwenye server.

Maelezo mengine kwa undani kidogo na kitaalam soma makaya huyu mtaalam 32 bit Vs 64 archtecture
 
thanks ndugu kwa maelezo mazuri, kwa sasa natumia laptop ASUS (f3sr series) na nimeinstall win7 32 bits. je naweza kuinstall win7 64 bits katika computer hii? na je itaboresha perfomance ya mashine?
 
mkuu Nyahenge maelezo ya Mtazamaji kwa kiasi fulani ni darasa tosha.

Unaweza kuinstall version ya 64 bits ila ujue hiyo sio upgrade ni vitu viwili ambavyo kila kimoja kinajitegemea.
kuhusu performance inategemea na kazi unazozifanya na programs zako, faida moja ya 64 bits ni uwezo wakutumia memory kubwa zaidi kwani 32 bits mwisho ni 4GB RAM.
kama matumizi yako ni ya kawaida tu, huchezi games wala hufanyi kazi za kuhitaji high processing power kama video editing and 3D graphics unaweza usigundue tofauti yeyote.
 
Back
Top Bottom