Nini tiba ya Heartburn au kiungulia

Vennyvenance

Member
Nov 28, 2011
8
1
Jamani kwa mtu yeyote mwenye maoni au ushauri kuhusu namna ya kutibu kiungulia au kitaalamu heartburn, mwanajamii naugua napia najua tuna ndugu na jamaa wanaungua na kuuguliwa. Jisikie huru kunisaidia.
 
Mkuu.@Vennyvenance Pole sana kwa hayo matatizo yako ya Ugonjwa wa kiungulia jaribu dawa yangu ya Tiba Mbadala ya Kiungulia. Dawa ya kutibu maradhi ya Kiungulia Heartburn

Changanya glasi moja (250ml) ya Maziwa fresh ya Ng'ombe na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habati Soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5.Kisha uje hapa unipe mimi Feedback unaendeleaje kiafya?
 
Haya mafuta ya habati soda ni yapi , na nitayapata wapi kwa hapa Dar es salaam?
 
Na wewe Mkuu Lateni unayo hayo matatizo ya Ugonjwa wa kiungulia? Jaribu kuulizia katika Ma Super Market makubwa mimi sipo hapo Dar, au kama kuna mtu mwengine anawezakutusaidia kupata hapo Dar Mafuta ya Habati Soda atuambie jamani.
 
Last edited by a moderator:

Kwa kiingereza yanaitwaje
 
Last edited by a moderator:
Kwa kiingereza yanaitwaje
Mkuu Viper kwa kiingereza inaitwa jina hili Nigella Sativa oil au jina hili Black Seed oil

106177.jpg

Nigella Sativa Oil Or Black Seed Oil.

Fkoy.jpg

$(KGrHqFHJC8E+VVWlrY+BP6siVRENg~~60_35.JPG

Nigella_Sativa_Black_Seed_OIl_Kalonji.jpg

Mafuta ya Habati Soda hayo. Mafuta haya yanatibu maradhi mengi sana ukiyajuwa umepata faida usipoyajuwa hukupata faida.
 
Duh safi sana mzizi mkavu....bianafsi umekua msaada mkubwa sana kwangu............. mungu akujaalie neema na rehema maishani mwako...
 
Tumia dawa inaitwa Cimetidine tabs 400mg bd 1/12. Meza kidonge kimoja baada ya chai na usiku unapolala. Afu utanipa majibu ndani ya masaa 48. Epuka kula acidic food zote, salty food, surgery food na vyenye nyanya nyingi.
Ukizingatia haya utasahau heart burn na pud pia.
 
Dawa za MziziMkavu zote ni za majini na zinapatikana misikitini tu, nimezunguka super markert zote hamna hayo mafuta ya habati soda, nimesikia eti yapo msikiti wa Mtambani.
 
Last edited by a moderator:
Dawa za MziziMkavu zote ni za majini na zinapatikana misikitini tu, nimezunguka super markert zote hamna hayo mafuta ya habati soda, nimesikia eti yapo msikiti wa Mtambani.
Mkuu Nazjaz Jini mwenyewe sio ndio wewe? ulijuaje kama dawa zangu ni za majini?na zinapatikana misikitini? Kwani kwenye Misikiti ndipo yapo majini?Nyumbani pako yapo hayo majini wewe tu huyaoni mimi mbona nipo huko mbali na wewe nimeyaona nyumbani kwako kuna majini moja lipo karibu ya nyumbani kwako la pili lipo nje chini ya huo mti unaopenda wewe kukaa nje ya nyumba yako?
 
Last edited by a moderator:
Dawa za MziziMkavu zote ni za majini na zinapatikana misikitini tu, nimezunguka super markert zote hamna hayo mafuta ya habati soda, nimesikia eti yapo msikiti wa Mtambani.

mi nadhani dawa huwa zinauzwa kwenye maduka ya dawa sasa mkuu unapozunguka supermarkets sidhani kama utapata.. :lol: jaribu pharmacy ..

mi napenda sana tiba mbadala esp hizi za wachina hazina side effects mi namshauri mdau wenye tatizo aanze na hizi traditional medicines alizotoa mkuu mzizi mkavu , hata kama ni kwenda kuzichukuwa msikitini haina mbaya muhimu afya kwanza ...

hizi dini zilizoletwa kwa majahazi .. sijui uislam, ukristo, ulokole, sijui unini its all ****!
 
Mkuu Viper kwa kiingereza inaitwa jina hili Nigella Sativa oil au jina hili Black Seed oil

106177.jpg

Nigella Sativa Oil Or Black Seed Oil.

Fkoy.jpg

$(KGrHqFHJC8E+VVWlrY+BP6siVRENg~~60_35.JPG

Nigella_Sativa_Black_Seed_OIl_Kalonji.jpg

Mafuta ya Habati Soda hayo. Mafuta haya yanatibu maradhi mengi sana ukiyajuwa umepata faida usipoyajuwa hukupata faida.

nimekusoma mkuu ahsante
 
MziziMkavu, achana nae huyo. Kaenda supermarket ya kwa mtogole atapataje dawa? Hayo maziwa ya kuchanganyia yanakuwa ya moto ama ya baridi?
Nazjaz, hii wala si dawa ya kienyeji. Ni chakula dawa. Hata ingekuwa ya kienyeji as long as hakuna ritual with its use (kama unywe ukiwa njia panda, umechutama ama ukiwa naked) sioni kama kuna tatizo.
 
Unatumia kama ilivyoandikwa King'asti huyu.@Nazjaz ni mpumbe pumbe kwetu tunamuita mtu kama huyu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa Mimi nimepata habatsoda Ile ya mbegu sijui kama Nissan ao nisubiri kupata Ile ya Mafuta? Kama kunamtu Karin anisaidie jamani.
 
Back
Top Bottom