nini tatizo modem ya zantel kudisconnect automatically

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
jamani ndugu zangu nina tatizo na modem yangu ya zantel kila baada ya kama dakika kumi kila ninapoitumia inajidisconnect automatically nimejaribu kutumia afd ili ifanye auto connect sijafanikiwa maana afd inashindwa kuconnect tena nifanyeje wadau?
 
umekosea njia mkuu, humu tumejaa wasaka kazi
 
mods hebu hamishieni kule kwa tech apate msaada huyu mheshimiwa, ombi langu kwako ..jaribu kutumia pc nyingine ili kugundua tatizo kama lipo ktk modem au configuration kwa pc yako. Pia ktk windows kuna option ya auto disconnect kama ipo idle
 
jamani ndugu zangu nina tatizo na modem yangu ya zantel kila baada ya kama dakika kumi kila ninapoitumia inajidisconnect automatically nimejaribu kutumia afd ili ifanye auto connect sijafanikiwa maana afd inashindwa kuconnect tena nifanyeje wadau?

kawaulize zantel huduma kwa wateja watakupa jib sahihi zaid ukishindwa hamia mtandao mwingine si iko ming sana
 
Mzee lazima utakuwa mgeni huku.. Kuna mdau alikwambia ungepost kwenye tech. Hapa naona vijana wote wanachotaka kusikia wapi kuna kazi
 
Ama kweli vipofu mpo wengi hadi umefika huku, we umepotea hapa nikwa ma' JOBLESS ambao zaid ya wiki sasa hata mia kuipata ni taab tupu
 
Back
Top Bottom