Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Na wabunge wa Chadema watakuwepo wanagonga Cheers!
Canada wanawaonga viongozi wetu na kuwanyamazisha wabunge ili waendelee kufaidi rasilimali zetu. Chunguzeni kila linapotokea jambo baya linawahusu Barrick ubarozi wa Canada unaingilia kati kutuliza mzuka.
Inawezekana viongozi wetu wananufaika nao. check hii news kutoka "the citizen news
"the government has offered more tax concessions to mining companies despite growing concerns that the country is not earning its fair share from minerals and other resources exploited by multinationals.In the Finance Bill 2011, the government also made further tax revisions by increasing excise duty on kerosene from Sh52 to Sh400.30 per litre and decreasing the traffic notification fee from the proposed Sh50,000 to Sh30,000"..... kwa news zaidi bofya Mining firms get more tax waivers
Canada Day is on next Friday 01st July 2011, NOT ON 24/07/2011 (this Friday). Source: google 'CANADA DAY 2011'. Mchezo mchafu???
hahaaaa! the real pic of our LeadersWanajenga uhusiano wa kidiplomasia kati ya Bunge la Tanzania na Canada. Unajua watu wenye uhusiano wa kidplomasia wanavyoelezana kama mmoja atakosea? Usishangae siku Barrick wakiburunda mambo wabunge waseme " You know? Canada is a very rich and peaceful country and a friend indeed to Tanzania. We welcome you to Dodoma, Mwanza, Dar es salaam and feel at home" ..... Unajua kingereza cha watawala wetu tena.....weeee.....we.....aamh.........Barrick will be........protected against...... all epidemics.......ooh.....aamh....against ... minerals. .....No I mean..... all dangeroussss.............I'mmmmmh........people....an .....all....all......aammmh!...all ....eeh....wall......wall.....climbers.....in.... aaa......! Tarime....Nyamongo.......aaan.... Chadema.....will.....aaahm....say.....say....eeeeh.....weeeeeeeh... but....but.... CC....aaah CC....eeh CCM .....don't....aaah..GIVE A SHIT!.....yeah...aaah!.... yeah...... give a damn! Yeah......!!
Hao ndiyo magamba! Natamani kujitoa mhanga nilipuke na TV yangu ili nisiwaone wanavyoshabikia pumba kule Mjengoni lakini sina namna.
Mlopokaji anapoishiwa kebehi huu ndio mchango wake!............. kwani ni lazima uchangie kila thread?Diplomacy
Diplomacy
My Take: Probably the Ambasador is aiming to apologise to Tanzanian people on behalf of his country for what had happened in Tarime. Ningekua MBOWE ningewashauri wabunge woote wa upinzani wagome kwenda ktk tafrija hiyo na wangetuma mwakilishi mmoja tu kuitaka serikali ya canada kuilazimisha serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji hayo
Mkuu hizi habari umezipata wapi?
Hakuna sherehe yoyote ya Kitaifa Canada Kesho wala kesho kutwa!
Jamani lazima tusome katikati ya mstari ili tuelewe maana halisi ya sherehe hiyo na kuamua kuifanyia katika bunge la muungano katika kipindi hiki.Waswahili wanasema hakuna ofa ya bure na hususani wakati huu ambao bajeti ya wizara ya nishati na madini itawasilishwa bungeni.Na inategemea kuwa wabunge kuhoji kulikoni katika migodi ya dhahabu.
hapo sijaona ajabu yeyote Mbona Sherehe za Mabalozi ya Tanzania huwa hazifanyiki Ubalozini kwao? Kwa Mfano huko Japan huwa zinafanyikia Mtaani pale Ubalozi unaona panafaa kuwakusanya watanzania.........kwa miaka kama 3 au 4 sherehe ilikuwa mwiko ubalozini........pale watu wanaenda kuomba visa wanasepa