Nini tafsiri ya ndoto hii?

nyaropio

Member
Mar 26, 2015
93
39
Nimeota jua kali limewaka usiku likatembea kwa haraka likaenda kugonga mwezi, kukatokea kishindo na giza flani.

Baada ya muda jua likabaki gizani lakini mwezi ukatoka ukiwa na rangi nyekundu. Najiuliza sana tafsiri ya ndoto hii, anejua anieleze tafadhali!
 
Huo mwezi mwekundu unaashiria umwagaji mkubwa wa damu baada ya matokeo kutangazwa na viongozi wa UKAWA watakapowashawishi watanzania wapigane kwa maslai yao binafsi!
 
akili zimegota uwezo wa kufikiri nao umegota ss kilichopo ni siasa tuu.sijui baada ya 25 october itakuwaje
 
Heee makubwa !! Siku hizi kila kitu ukiuliza unajibiwa kisiasa...haya buana ngoja tusubiri tuone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom