Nini tafsili hasa ya uchochezi?

kessy kyomo

Member
Feb 1, 2011
72
11
Ndugu wapendwa wanajamii hili neno la uchochezi hasa linalotumiwa na chama tawala kipindi mambo yanapokuwa magumu nini tafsiri yake au ni kuwatisha wananchi pindi wanapoona serikali yao inapokwenda mrama na kutaka kuihoji kwa kupitia vyama vya siasa, hii imekaaje ndugu wadau,issues za tangold,meremete,richmond,iptl,epa ni kweli ukioji haya musuala yanayowagusa walipa kodi ni uchochezi nani hasa mchochezi kati ya vyama vya upinzani na serikali kwa sababu nijuavyo mimi serikali inatumia mbinu zozote ili kuweza kututawala either ziwe nzuri au ziwe chafu walisema vyama vya siasa ni vyama vya msimu,wakasema cuf ni chama cha kidini wakafanikiwa wakafuatia na chadema wakasema ni chama cha kikabila-wachaga wakakosa nguvu,wakasema ni chama cha kidini wameshindwa sasa wanasema kitaleta machafuko kama ya tunisia leo asubuhi nimemsikia waziri wa habari anahubiri kanisani anawatisha wahumini kuhusu vyama vya siasa vitaleta machafuko machafuko gani hayo au kuhioji serikali kupitia wananchi ni kuleta uchochezi.
Ushauri kwa serikali yetu sasa hivi watu wengi ni waelewa na uongo una mwisho wake serikali yetu ndio inaleta uchochezi wa kidini ,kikabila na kirangi kama waliweza kumsema saim.a.salim ni mwarabu,mwandosya kabila lake ni kubwa hatuwezi tukatawaliwa na kabila kubwa nani hasa ni mchochezi? kama inafika atua waziri wa habari anahubiri siasa kwenye nyumba za ibada nani hasa ni mchochezi?
 
Back
Top Bottom