Nini suruhisho la undugu,ukabila na udini katika sekta ya ajira?

damashizo

Member
Jan 20, 2011
61
15
Ndugu wanajamii forum naamini kesho au keshokutwa kama sio mimi au ni wewe tutakuwa katika nyasifa mbalimbali za uongozi hivyo pamoja na kutoa maoni kwa viongozi waliopo itakuwa ni nafasi kwetu kama viongozi tunaokuja, kuelewa na kuondoa kabisa undugu, ukabila na udini katika ajira kwani jambo hili ni hatari kwa maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla. Naomba tuchangie mawazo nini suluhisho la tatizo hili katika sekta ya ajira.
 
dah! Hawa dawa yao ni kuwaambia ukweli hao wadini/wakabila ya kuwa wakifanyacho sio sahihi na kinapingwa na kila mtu. Nalog off
 
Back
Top Bottom