Nini suluisho la tbc na star tv¿

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
 
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*

ukweli ni kwamba strength za tp na sr zimeshuka kwa hiyo unahitaji angalau ungo wa ft8 kupata channels hizo
 
Signal zake kwa sasa bado zipo chini hivyo madishi madogo yanashika kwa tabu au unaweza usipate kabisa.Solution ni kuwa mvumilivu mpaka signal zitakapokuwa na nguvu nadhani wahusika wanafahamu tatizo hilo
 
Mbona Star tv iko sawa kuanzia tarehe 26 ina nguvu sana signal qualty yake imepanda kwa wale wenye decoder za mediacom930 ile bar ya kijani iko asilimia 75 toka asilimia 30 ilipokuwa hapo awali kwenye ungo wa futi 6.
 
Mna shida nyie.mi tbc,itv na star tv napata strength/quality 78-80 na signal 87-94
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom