nimejaribu kutafuta huku na kule ili kujua maana ya LUKU,is it an abbreviation?ni lugha gani?
shukran
Lipa Umeme Kama Unavyotumia
Lipa Umeme Kadiri Unavyotumia
Na wewe umechemsha. Maana yake ni Lipa Umeme Kadiri UTUMIAVYO.
Siyo kadiri UNAVYOTUMIA.
Na wewe umechemsha. Maana yake ni Lipa Umeme Kadiri UTUMIAVYO.
Siyo kadiri UNAVYOTUMIA.
Hakuna neno KAMA
naona umeamua kujifurahisha....haya hongeraaaa, imaraaaaa, waaah!
Mtazamo tofauti ktk uundaji wa maneno
LUKU=LOOK
naweza sema neno hili limetokana na kutohoa neno LOOK kuwa la kiswahili LUKU kwa sababu unapoweka zile unit lazima utazame kuna unit ngapi zimebaki,,,,,,,,,,na ngapi unaweka.....LOOK
Hahaa hahahaaaaaa.. we jamaa chenga kichizi
Bora me chenga....we utakuwa Vumbi kama siyo matapu tapu, we hujiulizi kwa nini
SHIRT=SHATI
SKIRT=SIKETI
COAT=KOTI
SEMA CHENGA ZIPO WAPI........................