Nini sababu ya Nape kutaka suluhu na CHADEMA juu ya DOWANS?

Hivi mara tumeshasahau kwamba Nape hakwenda Igunga?!!!mbona tunamchukia huyu jamaa kupitiliza wanajamii...kwanini?mi naona kama kweli kaomba hiyo kitu ni jambo zuri kwani kila mtu analia na dowans hapa daily,tuache siasa za maji taka hata kwenye national interest wadau!ndio maana unaona somtimez kwa wenzetu republican anaweza kumuunga mkono democrat kama kuna maslahi ya taifa...

upeo wako wa kufikiri bado mdogo sana
 
Nape anaongea kama nani? nilidhani hili suala la DOWANS is beyond CCM na CHADEMA bali ni issue ya nchi nzima na ni wakati sasa wa Amiri Jeshi mkuu wa Kaya atoe msimamo wa Serikali. Where is JK? Where is Ngeleja? where is the cabinet?
mkuu misimamo yao ni: jk, alisema hawajui dowans, nger
eja alisema dowans walipwe tena haraka sana.
 
Back
Top Bottom