Nini sababu na suluhisho la mikono kutetemeka?

Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,850
2,732
Natambua na naheshmu great thnkers mliopo humu na ndio sababu nikapenda kuulza. Tatzo langu hli halijaanza leo wala jana, ni tangu utotoni, ilifka mahali nikaona ni kawaida ila baadae jamaa zangu walinambia ni ugonjwa na unatbika. Wengne wananipa moyo kwamba ni kawaida. Kinachonisumbua ni pale ninapokosa hata uhuru wa kushka ktu mbele za watu nikihofia kuchekwa. Tatzo lmekuwa kubwa hadi kuandka saa zingne nashndwa kuishka kalam na kuishia kuandka neno nisivyokusudia. Ndugu zangu najua wapo wanaopenda mzaha na hawakataliwi kwenye jamii, ila mimi hapa sijaomba mzaha ila msaada. Nitafurahia michango yenu nyote. Asanteni
 
Napata wasiwasi kidogo unasema tatizo halijaanza leo wala jana unasema ni tangu utotoni na hujaenda hosp.pamoja na hali kuwa mbaya hivyo?.

Nenda hosp.maana tiba inategemea nini chanzo chake,yawezekana shida kwenye ubongo,mishipa ya fahamu,au kulikuwa na shida wakati wa kuzaliwa iliyokusababishia brain damage au ajali ,au toka utoto unabugia pombe nk.Hivyo wahi kwa neurosurgeon haraka.
 
Nenda hospital mkubwa mara nyingi ukubwani inaletwa na unywaji wa pombe kali ila udogoni nenda kwa wataalamu watakutibia na tatizo lako litakwisha
 
inawezekana kipindi uko tumboni mwa mama yako, mama alikuwa anakunywa pombe kali sana zoea kuufunga bandeji nadhani hali hiyo itaisha
 
Hii inaitwa tremors na zina sababu nyingi sana ingawa sababu kubwa ni kwenye ubongo, ni vizuri ukawaona wataalamu kwa msaada zaidi.
 
Nashukuru sana kwa mawazo yenu yenye kujenga. Kilichosababsha kutokwenda hosptal ni ile hali ya mimi kuona ni jambo la kawaida ila sasa inabdi nijitazame. Pombe sinywi hata kwa harufu
 
na mimi nina Tatizo kama hilo. Nishaenda hospitali mara kibao, nikambulia kupimwa malaria, kwangu lilianza toka niko form one mpaka sasa. Ila mie naweza fanya kazi zote bila kujua kuwa natetemeka Ila wa pemben zangu huniona natetemeka.
 
@speedy mi mwenyewe kaz sishndwi na hata zoez napiga kama kawa
 
mwanangu pia analo jambo kama hilo!!! na tulipoenda kupima regency akakutwa na PARTIAL LEISURE DISORDER, madaktrati wamemwandikia dawa na anaendelea kutumia ila ni matibabu ya muda mrefu!! Sio mtaalamu katika mambo haya wataalamu wanaweza kutusaidia, maana ingawa mpaka sasa ameshatumia kwa miaka 2, ila hajaacha kutetemeka!!
 
@speedy mi mwenyewe kaz sishndwi na hata zoez napiga kama kawa
Hujatuambia Mkuu una miaka mingapi? Je wewe Mwenzetu ni Mwanamke au Mwanamme? unauguwa haya matatizo yako kwa muda wa gani mpaka sasa?

Si unajua matibabu yetu huambatana na tunguri kdg!! we lete jogoo wa bluu mambo yote kwisha kabisa!
Mganga wa Jadi unataka Jogoo wa bluu mimi ninae Jogoo huyo wa bluu nikuletee utamtibu huyu mgonjwa? mimi ninataka uniletee Mfupa wa Mbu ili nikufundishe dawa ya kupata wateja wengi kwenye huo Uganga wako wa jadi.
 
Mwanaume, miaka 26 sasa. Nimeanzwa tangu utotoni ndugu yangu. Ningependa swal jingne kama lipo, yawezekana haya niliyoandka hayatoshi kuweza onesha aina ya ugonjwa. Mawazo yenu yanaumuhmu sana kwangu.
 
Tremor Index



Featured: Tremors Main Article

Tremor is the involuntary movements of one or more parts of the body. Causes of tremor include neurological disorders, neurodegenerative diseases, drugs, mercury poisoning, overactive thyroid and liver failure. There are several types of tremor. Treatment depends upon the type of tremor and availability of medications for the condition.

What is tremor?

Tremor is an unintentional, somewhat rhythmic, muscle movement involving to-and-fro movements (oscillations) of one or more parts of the body. It is the most common of all involuntary movements and can affect the hands, arms, head, face, vocal cords,

trunk, and legs. Most tremors occur in the hands. In some people, tremor is a symptom of another neurological disorder. The most common form of tremor, however, occurs in otherwise healthy people. Although tremor is not life-threatening, it can be embarrassing to some people and make it harder to perform daily tasks.

What causes tremor?

Tremor is generally caused by problems in parts of the brain that control muscles throughout the body or in particular areas, such as the hands. Neurological disorders or conditions that can produce tremor includemultiple sclerosis, stroke, traumatic brain

injury, and neurodegenerative diseases that damage or destroy parts of the brainstem or the cerebellum. Other causes include the use of some drugs (such as amphetamines, corticosteroids, and drugs used for certain psychiatric disorders), alcohol abuse or withdrawal, mercury poisoning, overactive thyroid, or liver failure. Some forms of tremor are inherited and run in families, while others have no known cause.

What are the characteristics of tremor?

Characteristics may include a rhythmic shaking in the hands, arms, head, legs, or trunk; shaky voice; difficulty writing or drawing; or problems holding and controlling utensils, such as a fork. Some tremors may be triggered by or become exaggerated during

times of stress or strong emotion, when the individual is physically exhausted, or during certain postures or movements.
Tremor may occur at any age but is most common in middle-aged and older persons. It may be occasional, temporary, or occur intermittently. Tremor affects men and women equally.

A useful way to understand and describe tremors is to define them according to the following types. Resting or static tremor occurs when the muscle is relaxed and the limb is fully supported against gravity, such as when the hands are lying on the lap. It

may be seen as a shaking of the limb, even when the person is at rest. This type of tremor is often seen in patients withParkinson's disease. An action tremor occurs during any type of movement of an affected body part. There are several subclassifications of action tremor. Postural tremor occurs when the person maintains a position against gravity, such as

holding the arms outstretched. Kinetic (or intention) tremor occurs during purposeful voluntary movement, such as touching a finger to one's nose during a medical exam. Task-specific tremor appears when performing highly skilled, goal-oriented tasks such as handwriting or speaking. Isometric tremor occurs during a voluntary muscle contraction that is not accompanied by any movement.

Matibabu yake jaribu kutumia dawa hii itakusaidia inaitwa (
Clonazepam)
imewasaidia wengi tu hata kama ndio dalili ya ugonjwa wa
Parkinson's Ugonjwa wa kutetemeka Mikono,na miguu


Clonazepam 0.5 mg-PUR.jpg

jaribu kutumia hivi vidonge kisha unipe majibu yake umefikia wapi.
 
mkuu MziziMkavu nashukuru sana kwa msaada wako, kwa muda mrefu sijapitia hapa na kuona hii dawa uliyoshauri, ngoja niifanyie kazi sasa
 
ina maana wewe tangu umeweka hii Thread Tarehe Dec 28, 2011 unakuja kuangalia leo Thread yako? ulikuwa upo wapi? si ungepona siku nyingi tu kama ungelitumia hiyo dawa.
nilishasahau kama nimeomba msaada huku kwakuwa niliomba sehemu nyingi na nyingi kati ya hizo watu wakawa hawana msaada zaidi ya dhihaka hivyo nilikata tamaa
 
Back
Top Bottom