Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Wapwa VIVIAN anaanza uchokozi mwambieni kabisa avae helmet.....Geoff, Nguli, Xpin, FL1, ZD,GeorgeP....mvua za nyuki zikianza asitegemee mbio. hahahahaah
 
Mnampa theories nyingi mtoa thread...muhimu kuwa na mkwanja,konom za kutosha na usinyonye maziwa mkifika sehem sehem..siku hizi wanapaka cocaine halafu wanaondoka na hilo GX-110 Lako...Lol
 
Mnampa theories nyingi mtoa thread...muhimu kuwa na mkwanja,konom za kutosha na usinyonye maziwa mkifika sehem sehem..siku hizi wanapaka cocaine halafu wanaondoka na hilo GX-110 Lako...Lol

Hii hata mimi niliisikia kule mwanza. Duh noma kweli!
 
Wapwa VIVIAN anaanza uchokozi mwambieni kabisa avae helmet.....Geoff, Nguli, Xpin, FL1, ZD,GeorgeP....mvua za nyuki zikianza asitegemee mbio. hahahahaah

Hahaha! Wapiganaji tunaangalia mwelekeo, upepo ukichafuja, tunasubiria amri kutoka kwa kamanda then shughuli inaanza.
 
hahahaha! Mpwa ulishambulia kokoto kwa hasira. Mpaka ukamkumbuka mdudu mliyemsahau kwa kinibu! Ukipiga kokoto, taska zinakuwa kama banta!
halafu umenikumbusha!ngoja ninyanyue mkonge!.........
 
Full Option: j'ai un rêve- i have a dream!

.....MWAGA MBOGA NIMWAGE UGALI....

Nilikuwa sijaiona hii!
 
Back
Top Bottom