Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,034
ngoja nitampiemu nimpe ACTIVATION-SOFTWARE ikabusti hiyo mudiNashukuru Mungu leo mchumba hayuko kwenye mood, kwahiyo ni full kujiacha jamvini.
ngoja nitampiemu nimpe ACTIVATION-SOFTWARE ikabusti hiyo mudiNashukuru Mungu leo mchumba hayuko kwenye mood, kwahiyo ni full kujiacha jamvini.
Epuka maongezi yanayolenga ngono direct, jaribu kuwa na maongezi yanayolenga utambulisho... kujua vitu anavyopenda na asivyopenda.... background...with little jokes as well....
Nguli please msaada wako hapa unahitajika!
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??
1. Learn her interest,
2. Msifie pale panapohitajika,
3. Kama wewe ni mnywaji na yeye sio mnywaji kunywa kiasi/kidogo
4. Ucheshi muhimu asifikirie wewe zombie/dumb,
5. Kama unamwihitaji kama mke muulize maswali yatakayokuonyesha vision yake.
6. Vizuri uje anapenda nini na nini hapendi kadri mazungumzo yanavyoendelea.
ahsante!Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na ZD kuliko kuachana na serengeti!
Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na binti kuliko kuachana na serengeti!
ahsante!
Sijasema uache upate kiasi ukizidisha mpaka ukashindwa kukwaa tukutuku kurudi home siitakuwa balaa ukizangita breki zinaweza kuwa hafifu?
Hahaha! tukutuku likikosa breki halafu nyumba ikakosekana tutaenda kusimamia Kimara na mgonjwa wetu. Hahaha!
Wala hii tabsamu yako niliyoizoea sitaiona tena, utapotelea chini ya FUSO.
1. Learn her interest,
2. Msifie pale panapohitajika,
3. Kama wewe ni mnywaji na yeye sio mnywaji kunywa kiasi/kidogo
4. Ucheshi muhimu asifikirie wewe zombie/dumb,
5. Kama unamwihitaji kama mke muulize maswali yatakayokuonyesha vision yake.
6. Vizuri uje anapenda nini na nini hapendi kadri mazungumzo yanavyoendelea.
I need more from you! wachunguzi wa mabo wanasema wewe huwa unauwa siku hiyo hiyo! uzoefu wako muhimu