Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

What I learnt about ZEUTAMU is that our leaders have a NIMBY Syndrome - very common terminology in Environmental Studies. The do not act if the need is not for themselves. They act only for themselves. Which implies SELFISHNESS. Bastards and Stupid!
 
Kikwete ana IQ ndogo sana......

Nakubaliana na wewe mia kwa mia NN kwasababu kama si hivyo ulivyosema angetumia muda mwingi nyumbani akitafakali jinsi ya kuongoza mapambano dhidi ya dhikii nyingi zinazoikabili jamii ya Wadanganyika!! Hivi juzi amerudi toka safari zake za utalii akaenda kuwaangalia wahanga wa mabomu kule Temeke hospitali next day huyooooooo amepaa kwenda Ulaya huku watu hawana chakula na wanalala nje!! Uongozi gani huo?
 
hizo picha za zeutamu haziwezi kuondoka uki google unazipata zote
google zeutamu halafu above the search box second left click images
utaziona zote mpaka ya mkulu

Wamepakua wali wameacha ukoko, wanadai siyo wali!! nimeziona mkuu, Shukran Jaazeera!!
 
Yapo mengi yalodhihirika hususan 'mkuki ulivyo mtamu kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu'. Ni kwelie walishalalamika wengi hata maprof wa SUA lakini haikusaidia. Bado ni wazi kuwa walishindwa kabisa kuikomesha utamu kwa kasi ambayo wangetamani. Mkuu wa kaya alibaki ametundikwa kwa wiki kadhaa na wengine waliendelea kujumuishwa. Ndo maana hata sasa kuumbuana kwenye ufisadi mengi yatawekwa hadharani kabla hawajaweza kuyadhibiti kwani yote yawajia kwa kushtukiza. Ndo maana sasa jibu la RA kuwa mbunge na 'king maker' wa Tz akiwa na uraia tata bado lawaumiza vichwa. Liquid will always find its own level. Kwa mwndo wa mafisadi wachache kufaidishwa rasilimali za wanyonge na wenyewe wakibaki kutaabika mengi yatakuwa na mwisho tu.
 
Ukweli Mtupu, hakuna fitina . . .
 
Jamani vita dhidi ya zeutamu ya yetu wote, ile sio njia ya kurekebisha mambo!

Web gani kila anayeandikwa ana Ngoma au ni m*****ge? au anatoa T****go???

Tuungane kuakikisha hairudi tena milele!

Aaamen!
 
mi niko confuse picha ya mkuu JK iliwekwa zeutamu anafanya what is not suppose kufanya kama political figure, married man and a father? maana mimi hii zeutamu siangali kwa sana inawezekana nilipitwa.

niambieni nyie lol
Tukuambie nini?
 
Picha iliyowekwa ilikuwa ni uongo na uzushi.

Inatakiwa woote wenye akili timamu kuilaani Zeutamu!
 
ZEuTAMU oyeeeee...oyeeeee...ZeUtamu juu...juu...na juuuuu zaidi

Mkuu angalia utarudi sello mi niliwahi ifagilia ze uchungu nilitishiwa shauri yako mkuu.....tutakukosa tena jamvini. Ila kweli nimeimiss sana nilikuwa nachukua maufundi mle Kibunango siku hizi katutosa kabisa.
 
chakuchekesha sasa, wanadhani wameifunga kabisa lakini picha bado karibu zote zinaonekana google, just type "site:andika website ya utamu hapa" halafu click on images tab....zoooote zipo...kumbukeni mtu ukiweka kitu online ndo imetoka hiyo...

Hata ya Mkulu ipo aisee duu hii technolojia balaaa....huwezi shidana nayo utaumia bure!
 
Katika hali yoyote ile ze utamu ife kabisa!! Ninachosikitika sana ni kwa kuwa ni wengi wameumizwa sana na hiyo website lakini hakuna lilifofanyika. Ninachofahamu usalama wa taifa una kila idara, sasa hiyo idara ya IT ilikuwa haipitii ze utamu ikaona maporomoko hayo na kuyafanyia kazi au nao walikuwa wanapita huko na kujichekea au kujifunza style za ngono na kuona miili ya watoto, marafiki, ndugu na majirani ikisanifiwa katika photoshops? na kubandikwa pale na mtu anaamini ni kweli. Ni vigumu kumwelimisha mke/mume/fiancee/gilrfriend/boyfriend/hawara kuwa picha iliyopo si halisi bali ni ya kuengeneza kama ile ya mkuu wa kaya!!! Maumivu mengi yameipata jamii!!!

Sasa basi na hili ni fundisho kwa serikali kuwa wanatakiwa kuwa makini na kufuatilia immorals hata kama ni za maskini wa kawaida na watu wa class ya chini, sasa hao walioko juu wakiguswa tu mara hili mara lie.

Sasa basi ze utamu itarudi kwa jina lingine na mambo yale yale. Owners wanajipanga, ule ni mtandao, wa owners ambao hawalali wanapanga mipango mathubuti. Sasa sisi wabongo tunajituma kiasi gani watumishi wa serikali ili basi tuweze kupambana na ze utamu, hatuwawezi!!! Kama kupeleka tu basic human needs (chakula, malazi na mavazi) kwa wahanga wa mabomu je tunaweza kushindana na ze unini??? Thubutu!!!
 
The answer to your question is: THEY JUST DON'T CARE! Viongozi wetu hawajali, hebu kumbuka mabomu ya Mbagala, bunge liliendelea kama kawaida na Pinda alibaki mpaka saa 2 usiku bungeni hakuna hata kusimama kuwakumbuka wahanga wala nini! Unafikiri ni kwa kwa nini? THEY DON'T GIVE A DAMN!
katika hili mimi lilinigusa saaaaana, lakinikwakuwa sijui sheria sana nikahisi ni taratibu za bunge...tukio la mbagala lilitingisha nchi lakini bunge halikuteteleka..na hata kesho yake baada ya matukio yale waziri mkuu alijibu maswali ambayo hakuna hata moja lililogusia suala la mabomu ya mbagala na hata katika hotuba yake ya kufunga shughuli za bunge siku ile hakusema wala kutaja chochote juu ya tukio lile...hivi hawakuwa na taarifa?? ipi sheria inayowazuia kuonyesha masikitiko yao kwa tukio kama lile katika vikao vinavyoendelea??

i think they just dont care!!!!

hata pale unapotarajia japo raisi atatoa tamko...u wont be suprized yupo mbali na nchi au mikoani akiendelea na shughuli nyingine...walimu/wafanyakazi walipogoma, wanafunzi walipogoma...utasikia tu tamko la mkuu wa jeshi la polisi akiweka mkwara...
 
Mkuu angalia utarudi sello mi niliwahi ifagilia ze uchungu nilitishiwa shauri yako mkuu.....tutakukosa tena jamvini. Ila kweli nimeimiss sana nilikuwa nachukua maufundi mle Kibunango siku hizi katutosa kabisa.

Hahahahahaha...hilo la kufingiwa wala huwa halinisumbuagi.....
 
It is very frustrating, welcome to the club of the frustrated bro, welcome to the club. But one thing for sure , we won't be frustrated forever....that is for sure.

The problem is us not acting as a democracy. In other countries, countries aware of their democratic rights, they stage rampant demonstrations. This is done because the people have realised that the country is governed by the people, and not the few heshimiwas sitting in offices.

We're making it all too easy for the fisadis to continue untouched. Opposition MPs cannot make any change by themselves, all they may accomplish is lengthy beaurocratic trials and procedures leading nowhere at all.

It is us, the citizens, the wananchi of our Tanzania, that can make that change by uniting to demand action against these unarmed robbers who are to blame for so many of our brothers and sisters living in the chains of poverty.

It is not that the authorities are not taking these cases serious.....wananchi wenzangu, they are not taking us serious.
 
MIMI najiuliza mbona Shigongo na magazeti yake ambayo hayana tofauti kwanini hafungiwi?.

Lazima kuna kitu
 
Nimeiona hii makala ndefu yenye uchambuzi wa kina kuhusu mkabala mzima wa jamii ya Tanzania - inakotoka, jinsi ilivyofikia kuwa na tovuti kama ZE UTAMU, athari za utandawazi pamoja na changamoto la nini cha kufanya. Ni makala nzuri ya kiuchambuzi ambayo pengine itakuwa vizuri tukiijadili hapa.

Makala hiyo inapatikana katika blogu ya Dkt. Matondo wa chuo kikuu cha Florida; na pia imechapishwa katika gazeti la Kwanza Jamii la wiki hii.

matondo.blogspot.com

Naomba kuwasilisha

MNYANTUZU kutoka BARIADI
 
Ugukaya, ulemhola?
 
Ze Utamu haijatufundisha kingine zaidi ya kuonyesha unafiki, uzandiki, wivu, chuki, inda,ubazazi na ulimbukeni wa sehemu ya jamii ya Watanzania.
Imetutia aibu kikubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom