Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
nahisi zitafumuka kama 800 hivi kwa hizi siku mbili tatu......mie namind sana yaani jamaa wajifanya kuona baada ya wazeiya kugonga ikulu....eti na dunia hii wanaifungia website kama ile.....waangalie mambo ya msingi kuna ma kagoda,ma BOt ma Rostam na mijikashfa kibao wanajifanya hawaoni....Ze Utamu imefungwa eti kwa vile mkuu wa Kaya kaumbuliwa?Hivi kuumbuliwa ni kitendo cha kusingiziwa au ni kuanikwa Hadharani watu wakuone jinsi ulivyo??Kuumbuliwa ni kubambikizwa mambo ambayo kamwe hujawahi fanya ni mwiko kwako, au ni kuweka wazi mambo unayo yafanya mafichoni kwa siri huku hadharani ukijifanya unamzidi hata kadinali Pengo kwa Utawa??? Imefungwa kweli??Ni vipi sisi wanachama wake mashuhuri tusioweza kwenda kulala bila kujivinjari kwenye Tovuti hii ya uchiuchi bado tunaweza kupata habari mototo za Ze Utamu bila shida?Kwani kuna Kuna Ze Utamu ngapi hapa Duniani??