Nini nafasi ya Advanced Diploma East Africa?

Ukisoma higher diploma ukitaka kuendelea unasoma kitu gan degree au post graduated then masters
 
Saut adv dip in accountancy/procure.. Bado ipo
muhimbili pia
na vyuo /taasisi nyingi wordwide adv inapigwa kama kawaida.....
 
mwenye kufahamu naomba jibu, hivi ukiwa na advanced diploma unaweza kuchukua masters bila ya kuwa na degree?
 
Yaap, inawezekana, but sijui kama kwa TZ inakubalika. Inategema umesomea fani ipi, maana kwenye Journalism first degree ilianza kutolewa 2002 kwa Tanzania, then sasa haipo tena Advance Diploma ambao inakuwa considered kama first degree, ukiwa na hiyo kwa Finland na Singapore unakwenda moja kwa moja kwenye masters (sina uhakika na bongo). Try uulize zaidi.
 
Inategemeana na fani pili na chuo,tz mfano mzumbe advanced diploma anapiga masters!
 
Mkuu unaweza soma masters usihofu,sema inategemea na performance yako,vyuo kama Mzumbe,IFM na IAA,wanazikubali,sema wanasema lazima uwe na kuanzia second class kwenda juu.
Vicheki ivo vyuo,utapata details zote!
 
unaweza kusoma moja kwa moja ila unatakiwa uwe na class ya juu upper or first kaka yangu alimaliza adva pale ifm akaenda UDSM moja kwa moja bila kupitia post ila ukiwa na lower na pass huwezi kwenda kusoma master but kuna baadhi ya vyuo vya nje kama uk ukiwa na uzoefu wa kazi unaenda kuchukua master but for only lower second for pass baba inabidi tu uchukue postgraduate diploma.
 
Ndugu wana Jukwaa naomba munieleweshe nimekuwa nikiulizwa suala hili mara kwa mara ila huwa linasumbua kutoa jawabu muwafaka itokeapo kuombwa kutoa ushauri.

1.Ni nini tafauti ya Bachelor Degree na Advance Diploma?

2. Kuna uhusiano au ulingano gani wa hadhi kielimu (Equivalency), ukichukulia wenye kufaulu shahada (ngazi) hizi wote inakuwa kwao ni halali (eligible) kujiendeleza zaidi kwenye masomo ya Master Degree, Jee Advance Diploma ni Degree?
Naomba mchango wenu, Washahili wanasema Kuuliza si.........
Asanteni
 
Hapana mwenye advance diploma hawezi soma masters mpaka apate poost graduate. Ila ni equivalent sababu zote zinawakilisha cheti kimoja tofauti ni moja inatolwa na college na nyingine na University level
 
Hapana mwenye advance diploma hawezi soma masters mpaka apate poost graduate. Ila ni equivalent sababu zote zinawakilisha cheti kimoja tofauti ni moja inatolwa na college na nyingine na University level


Josephine hapo nikusahihishe au vp,kaka yangu alimaliza CBE adv diploma ya accounts 2004 na mwaka 2010 akaanza masters MBA mzumbe and now hez done,am sure 100% hajasoma postG diploma. so how z that?
 
Hata mie najua ukisoma advanced diploma bongo, lazma usome post graduate diploma ndo usome masters.
 
Back
Top Bottom