Nini mustakabali wa chadema

Tazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize Nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni CDU, utapata jibu.

Juzi juzi Slaa katoka Vatikan, utapata jibu.
Wengine mnahitaji maombi zaidi
 
Wakristo30 Waislam 9 Jumla 39. Hapo si wote wenye majina yakiislam niwaislam.Nimewatazama kwa majina tu,na hii katika asilimia ni 9/30 x 100 =30% ya viongozi wote.Kwa maana 70% ni wakristo,Je 30% na 70% nani wenye maamuzi? Sijagusa wabunge bado na wanachama pia! Ukifika huko hali inatisha sana. CDM na CDU !?
 
tazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni cdu, utapata jibu.

Juzi juzi slaa katoka vatikan, utapata jibu.
kwani kikwete hakuwahi kwenda vatican...? Na akamwalika pope kuja taznzania..........?
Je kuna ubaya gani kwenda vatican...kwani vatican ni kuzimu....?
Jibu......
 
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia wa kuchaguliwa mpaka wa viti maalumu. Hii inaonekana kuwatia hofu chama tawala hasa walivyo na wbunge wengi vijana. x x x x x Lakini kwa upande mwingine CHADEMA kimekuwa kikitafsiriwa kama chama kilichogubikwa na UKANDA, UDINI na UKABILI iliopindukia huku kikianikizwa kama chama kinachohamasisha uvunjifu wa amani kupitia maandamano na kauli mbalimbali za viongozi wake. x Wana jf naomba mtazamo wenu juu ya mustakabali mzima wa chama hiki kinachoonekana kupata nguvu kubwa hasa kupitia kwa vijana ambao ndo wengi ndani ya nchi hii.


Kweli umekosa kazi wewe, yani hapo ndio umefikiri mpaka umefika mwisho? Kweli kazi tunayo.
 
Hivi ribosome na zomba wanauhusiano gani mbona ukimquote zomba anatokea ribosome na hii nimeiona mara nyingi
 
Kama huna elimu au ubongo wa kufikiri waweza kuwa mwehu, kichaa, taahira au hayawani. Mbona sijaona majina ya waabudu chini ya miti, kihindu, wamang'ati wanaoabudu makorongoni na kutema mate juu ili mvua zinyeshe na pia wasiokuwa na dini kama akina Kingunge ngombale Mwiru nk?. Udini uko CCM, kwa urahisi wanawaunga mkono uchomaji wa makanisa Zanzibar na kuwatuma viongozi wa dini uchwara kuunga mkono tabia hiyo badala ya kukemea.
 
Back
Top Bottom