Nini mustakabali wa chadema

DOGOSA

Member
May 22, 2012
8
1
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia wa kuchaguliwa mpaka wa viti maalumu. Hii inaonekana kuwatia hofu chama tawala hasa walivyo na wbunge wengi vijana. x x x x x Lakini kwa upande mwingine CHADEMA kimekuwa kikitafsiriwa kama chama kilichogubikwa na UKANDA, UDINI na UKABILI iliopindukia huku kikianikizwa kama chama kinachohamasisha uvunjifu wa amani kupitia maandamano na kauli mbalimbali za viongozi wake. x Wana jf naomba mtazamo wenu juu ya mustakabali mzima wa chama hiki kinachoonekana kupata nguvu kubwa hasa kupitia kwa vijana ambao ndo wengi ndani ya nchi hii.
 
Kumbuka CUF iliambiwaje? na sasa ni chama tawala mwenza ZNZ. Kwenye siasa propaganda ni lazima lakini mara nyingi hazina mafanikio ya muda mrefu. Cha msingi ni jinsi gani mnawa prove wrong opponents wenu.
 
huo ni mtizamo wako...lakini kama ulivyosema mwanzo, kina wabunge, wabunge wanatoka maeneo yapi ya TZ, viongozi wake wa kitaifa je, ni wa kutoka dini gani, na makabila gani, hapo utapata jibu la unayouliza juu ya ukanda na udini..kuhusu uvunjifu wa Amani, lini CDM wametumia silaha katika chochote, Ikwiriri ni mfano hai wa karibuni wa uvunjifu wa amani, je ni CDM? Mauwaji ya pemba, je ni CDM , mauwaji migodini, JE NI CDM? Huo uvunjifu wa wa Amani unaofanywa na CDM ni upi....Mi kwa mtazamo wangu, mustakabali wa CHADEMA ni kuchua nchi, na kusweka mafisadi wote mahakani, kutupatia katiba bora, ugawaji haki wa rasilimali..n.k pia utapata
 
Udini,ukanda,ukabila hizo n propaganda za ccm. Wanazirudia rudia kusema wakijaribu ili ifike mahali ionekane ndio ukweli. Kibaya kwao n kua sa hv watanzania hata wa vijjin hawamwamin mtu tena,kabla ya kusema hii ni njano au blue wanataka waione wenyewe kwahiyo hizo kelele hazizimi nguvu ya M4C.
Ukanda wanao CCM kwan vijana wao walishatamka kua rais ajae hatoki kamwe Kaskazin hii ina maana gan kama si ukanda?
M4C unstoppable
 
Unauliza swali wakati unajua kwamba nyie MAGAMBA mmeanza kufunga vilago sasa unazani hatima ya CHADEMA itakuwa ni nini kama sio kuchukua nchi ambayo mmeshindwa kuingoza nyie MAGAMBA?
 
Tazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize Nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni CDU, utapata jibu.

Juzi juzi Slaa katoka Vatikan, utapata jibu.
 
hiki chama kimeshajidhihirisha tangu mwanzo katika harakati zake kuwa ni chama cha kanisa,kimefika hapo kwa msaada na mkono wa kanisa na uchaga ndani yake.

kinachotakiwa ni kurekebisha kasoro hiyo badala ya kukana kwani watanzania wanajua na wanaona ukweli huu.
 
Angalia orodha hii hapa chini halafu utueleze huo ukanda uko wapi:

ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:

VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
S/N
JINA LA KIONGOZI
WADHIFA
KABILA
ANAKOTOKA
1.
Freeman Aikael Mbowe
Mwenyekiti Taifa
Mchaga
Hai - Kilimanjaro
2.
Said Arfi
Makamu Mwenyekiti (T) Bara
Mfipa
Mpanda - Rukwa
3.
Issa Said Mohamed
Makamu Mwenyekiti (T) Visiwani
Mpemba
Pemba - Zanzibar
4.
Willibrod Peter Slaa
Katibu mkuu Taifa
Muirak
Karatu - Arusha
5.
Zitto Zuberi Kabwe
Naibu Katibu Mkuu (T) Bara
Muha
Kigoma Ujiji - Kigoma
6.
Hamad Mussa Yusuph
Naibu Katibu MKuu (T) Visiwani
Mpemba
Pemba - Zanzibar
7.
John Heche
Mwenyekiti BAVICHA Taifa
Mkurya
Tarime – Mara
8.
Sharifa Suleiman
Makamu Mkt BAVICHA – Visiwani
Mzanzibari
Unguja – Zanzibar
9.
Juliana Shonza
Makamu Mkt BAVICHA – Bara

Mbeya
10.
Suzan Lyimo
Kaimu Mwenyekiti BAWACHA (T)
Mchaga
Moshi – Kilimanjar
11.
Nyangaki Shilungushela
Mwenyekiti WAZEE Taifa
Msukuma
Shinyanga

WAKURUGENZI WA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU YA CHAMA WANAOMSAIDIA KATIBU MKUU:
S/N
JINA LA MKURUGENZI
KURUGENZI ANAYOONGOZA
KABILA
ANAKOTOKA
12
Anthony Komu
Fedha na Utawala
Mchaga
Moshi vijijini - Kilimanjaro
13
Benson Kigaila
Organisation na Mafunzo
Mgogo
Kibakwe - Dodoma
14
Msafiri Mtemelwa
Kampeni na Uchaguzi
Mzaramo
Mkuranga - Pwani
15
John Mrema
Bunge na Halmashauri
mchaga
Vunjo - Kilimanjaro
16
Ezekiah Wenje
Mambo ya Nje
Mjaluo
Tarime - Mara
17
John Mnyika
Habari na Uenezi
Msukuma
Misungwi - Mwanza
18
Tundu Lissu
Sheria na Haki za Binadamu
Mnyanturu
Ikungi - Singida
19
Wilfred Lwakatare
Ulinzi na Usalama
Mhaya
Bukoba - Kagera
20
Deogratias Munisi
Katibu Mkuu BAVICHA
Mchaga
Moshi – Kilimanjaro
21
Naomi Kaihula
Katibu Mkuu BAWACHA
Mnyakyusa
Mbeya
22
Erasto Shija
Katibu Mkuu WAZEE
Msukuma
Shinyanga

MAOFISA KATIKA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU WANAOWASAIDIA WAKURUGENZI
S/N
JNA LA OFISA
KURUGENZI/WADHIFA WAKE
KABILA
MKOA ANAOTOKA


FEDHA NA UTAWALA


22
Mwalwisi
Mhasibu Mkuu wa chama
Mnyakyusa
Mbeya
23
Jiorojig
Ofisa utawala wa chama
Mmbulu
Mbulu - Manyara
24
Zuhura Nkya
Cashier
Mchaga
Moshi - Kilimanjaro
25
Hawa Mwaifunga
Cashier
Mnyakyusa
Mbeya
26
Edgar Njwaba
Afisa Matengenezo
Mnyakyusa
Kyela - Mbeya







ORGANIZATION NA MAFUNZO


27
Hajateuliwa mwingine
Baada ya kifo cha Regia Mtema
Aliyekuwa
Anatoka Morogoro







HABARI NA UENEZI


28
Erasto Tumbo
Ofisa Mwandamizi – Uenezi
Msukuma
Kisesa - Shinyanga
29
Tumaini Makene
Ofisa wa Habari
Mkerewe
Ukerewe - Mwanza
30
Benson Mramba
Mkuu wa CHADEMA TV
Mchaga
Moshi - Kilimanjaro
31
Neema Kishebuka
Mwandishi – CHADEMA TV

Morogoro
32
John Tendwa
Storekeeper
Mpare
Same - Kilimanjaro







SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU


33
Esther Daffi
Ofisa wa Sheria
Mnyanturu
Singida
34
J. Mndeme
Ofisa wa Sheria
Mpare
Same - Kilimanjaro







BUNGE NA HALMASHAURI


35
Mwita Waitara
Ofisa wa Sera na Utafiti
Mkurya
Tarime - Mara







KAMPENI NA UCHAGUZI


36
Suzan Kiwanga
Ofisa wa kampeni na uchaguzi

Kilombero - Morogoro







ULINZI NA USALAMA


37
Hemed Sabula
Ofisa wa Ulinzi na Usalama
Msukuma
Mwanza







MAMBO YA NJE


38
Leticia Nyerere
Ofisa wa Mambo ya Nje
Msukuma
Kwimba - Mwanza







MABARAZA YA CHAMA


39
Subira Waziri
Naibu Katibu mkuu BAWACHA
Mhaya
Bukoba – Kagera

Esther Daffi
Naibu Katibu mkuu BAVICHA
Mnyanturu
Singida


JUMLA WATU WOTE – 39
JUMLA YA WACHAGA – 7
ASILIMIA YA WACHAGA – 7/39 X 100% = 17.95%
 
Kwenye hiyo orodha no 10 ndo sijaelewa tayari kuna manaibu wa Bara na Visiwani huyo tena wa nini.Ni mtizamo wangu tu lakini
 
Angalia orodha hii hapa chini halafu utueleze huo ukanda uko wapi:

ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:

VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
S/N JINA LA KIONGOZI WADHIFA KABILA ANAKOTOKA
1. Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti Taifa Mchaga Hai - Kilimanjaro
2. Said Arfi Makamu Mwenyekiti (T) Bara Mfipa Mpanda - Rukwa
3. Issa Said Mohamed Makamu Mwenyekiti (T) Visiwani Mpemba Pemba - Zanzibar
4. Willibrod Peter Slaa Katibu mkuu Taifa Muirak Karatu - Arusha
5. Zitto Zuberi Kabwe Naibu Katibu Mkuu (T) Bara Muha Kigoma Ujiji - Kigoma
6. Hamad Mussa Yusuph Naibu Katibu MKuu (T) Visiwani Mpemba Pemba - Zanzibar
7. John Heche Mwenyekiti BAVICHA Taifa Mkurya Tarime – Mara
8. Sharifa Suleiman Makamu Mkt BAVICHA – Visiwani Mzanzibari Unguja – Zanzibar
9. Juliana Shonza Makamu Mkt BAVICHA – Bara Mbeya
10. Suzan Lyimo Kaimu Mwenyekiti BAWACHA (T) Mchaga Moshi – Kilimanjar
11. Nyangaki Shilungushela Mwenyekiti WAZEE Taifa Msukuma Shinyanga

WAKURUGENZI WA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU YA CHAMA WANAOMSAIDIA KATIBU MKUU:
S/N JINA LA MKURUGENZI KURUGENZI ANAYOONGOZA KABILA ANAKOTOKA
12 Anthony Komu Fedha na Utawala Mchaga Moshi vijijini - Kilimanjaro
13 Benson Kigaila Organisation na Mafunzo Mgogo Kibakwe - Dodoma
14 Msafiri Mtemelwa Kampeni na Uchaguzi Mzaramo Mkuranga - Pwani
15 John Mrema Bunge na Halmashauri mchaga Vunjo - Kilimanjaro
16 Ezekiah Wenje Mambo ya Nje Mjaluo Tarime - Mara
17 John Mnyika Habari na Uenezi Msukuma Misungwi - Mwanza
18 Tundu Lissu Sheria na Haki za Binadamu Mnyanturu Ikungi - Singida
19 Wilfred Lwakatare Ulinzi na Usalama Mhaya Bukoba - Kagera
20 Deogratias Munisi Katibu Mkuu BAVICHA Mchaga Moshi – Kilimanjaro
21 Naomi Kaihula Katibu Mkuu BAWACHA Mnyakyusa Mbeya
22 Erasto Shija Katibu Mkuu WAZEE Msukuma Shinyanga

MAOFISA KATIKA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU WANAOWASAIDIA WAKURUGENZI
S/N JNA LA OFISA KURUGENZI/WADHIFA WAKE KABILA MKOA ANAOTOKA
FEDHA NA UTAWALA
22 Mwalwisi Mhasibu Mkuu wa chama Mnyakyusa Mbeya
23 Jiorojig Ofisa utawala wa chama Mmbulu Mbulu - Manyara
24 Zuhura Nkya Cashier Mchaga Moshi - Kilimanjaro
25 Hawa Mwaifunga Cashier Mnyakyusa Mbeya
26 Edgar Njwaba Afisa Matengenezo Mnyakyusa Kyela - Mbeya
ORGANIZATION NA MAFUNZO
27 Hajateuliwa mwingine Baada ya kifo cha Regia Mtema Aliyekuwa Anatoka Morogoro
HABARI NA UENEZI
28 Erasto Tumbo Ofisa Mwandamizi – Uenezi Msukuma Kisesa - Shinyanga
29 Tumaini Makene Ofisa wa Habari Mkerewe Ukerewe - Mwanza
30 Benson Mramba Mkuu wa CHADEMA TV Mchaga Moshi - Kilimanjaro
31 Neema Kishebuka Mwandishi – CHADEMA TV Morogoro
32 John Tendwa Storekeeper Mpare Same - Kilimanjaro
SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU
33 Esther Daffi Ofisa wa Sheria Mnyanturu Singida
34 J. Mndeme Ofisa wa Sheria Mpare Same - Kilimanjaro
BUNGE NA HALMASHAURI
35 Mwita Waitara Ofisa wa Sera na Utafiti Mkurya Tarime - Mara
KAMPENI NA UCHAGUZI
36 Suzan Kiwanga Ofisa wa kampeni na uchaguzi Kilombero - Morogoro
ULINZI NA USALAMA
37 Hemed Sabula Ofisa wa Ulinzi na Usalama Msukuma Mwanza
MAMBO YA NJE
38 Leticia Nyerere Ofisa wa Mambo ya Nje Msukuma Kwimba - Mwanza
MABARAZA YA CHAMA
39 Subira Waziri Naibu Katibu mkuu BAWACHA Mhaya Bukoba – Kagera
Esther Daffi Naibu Katibu mkuu BAVICHA Mnyanturu Singida


JUMLA WATU WOTE – 39
JUMLA YA WACHAGA – 7
ASILIMIA YA WACHAGA – 7/39 X 100% = 17.95%

labda wanataka kuona wakwere
 
Back
Top Bottom