Nini mtazamo wako katika hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Jaribu kuangalia hii picha kwa makini kisha toa maoni yako.

pakua+%252817%2529.jpg
 
wanapopewa makablasha ya kusoma,awayasomi.wakuwa busy kuyasoma wakati wa kikao.Pili utabebe makaratasi mpaka lini
 
Naona waheshimiwa wanamuenzi mwalimu,ni mmoja tu analeta mambo ya kimagharibi kwa kutumia Laptop..Jamaa wanajaribu kutuonesha kuwa hata wao wanahitaji msaada wa vitendea kazi maana kuandika kwa peni sio kitu kidogo...Muone yule wa kwanza pale katikati yule alienyoa..,anaazima peni maskiniiiiii imegoma ya kwake alikuwa anatumia zile za ofa ya dawa ya meno..Khaaaa yule mwingine imevuja alisahau kufunika ona imelowesha documents zote munguuuu weee tuone sie wabongo......
 
Lissu kama mwezeshaji hapo

kawapa assignment, au anawasimamia kila mmoja atengeneze nondo
 
Indume Yene, kama ulikuwa unatafuta mshindi wa interpretation wa picha yako, umempata - ni "Bei Mbaya"
 
wengine wanasoma mapafleti huyu wapekeyake liko jf halafu jukwaa la kikubwa hata alivyokaa tu..
 
Lissu anacheza game wakati wengine wako busy na paper work!

ha ha ha haaaa (joking banaa)!
 
Wamebishana sana mpaka lisu amejitenga na kuamua kuchec facebook, ooh, no, anachec JF, hapana, anachec porn
 
Naona wamepewa nyaraka wazipitie na kurekodi baadhi ya mambo sasa kuna ambao hawajui kutumia computer wanaandika kwa kutumia peni na karatasi mzee Tundulisu yupo kisasa zaidi anatumia laptop kuhifadhi documents
 
Back
Top Bottom