Nini matumizi ya AUTHORITY CERTIFICATES kwenye simu za NOKIA...?

hiyo inasaidia kudownload applications mbalimbali ambazo zipo certificate na simu yako ili isiweze kuleta madhara ndani simu kama vile baadhi ya applications zina virus........ mie naufahamu mdogo ngoja wataalamu wengine waje watujuze....
 
yeah @ dezzle zile zk kama kibali flan yan zina kuauthorize downloads ulzochukua mtandaoni hivyo endapo ukizifuta kuna applications haziwezi run in ur mobile 4n.
 
Back
Top Bottom