Nini matokeo ya epic nation?

simple boy

New Member
Jun 30, 2011
2
0
https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/juggle.gif leo epic nation ilikuwa mjini mtwara ambapo wamehudhulia wananchi kupita kawaida kuliko hata raisi akija watu huwa hawajai kwa kiasi nilichoshuhudia leo na nia yao kubwa me sijaiona zaidi ya kupoteza muda wa wanachi kwa kuwaangalia wanavyorukaruka sasa wana-jf nisaidieni malengo makubwa kama ni kuongeza idadi katika mtandao wao mbona muda mwingi ni mziki kwa kwenda mbele?
 
wabongo ndio walivyo hasa huko kusini wao mshangao ni jadi mengine yatafuatia
 
wabongo ndio walivyo hasa huko kusini wao mshangao ni jadi mengine yatafuatia

Sio kushangaa ndugu yangu, sehemu kubwa ya waliokuwepo hapo wanawasikia tu hao wanamuziki, sasa ikija nafasi adimu ya kuwaona live mtu yuko radhi atoke wilayani kuja kumuona msanii.

Hao watu walio turn up ni wateja wa baadaye wa Zantel, promo hiyo inalipa sana . Labda leo wamegawa sim card bure, after say six months watakuwa na roadshow nyingine na kusema ukija na recharge voucher zilizotumika za 5,000 unaingia bure kwenye show, voucher zilizotumika za 10,000 Tshirt, vouchers zilizotumika za 20,000, raffle inachezeshwa na mshindi anapata simu.

Zain watakuwa wamepata wateja kibao
 
epic nation ni huduma au promotion kutoka zantel ambapo mteja wake anapata sms 300 na free 15 minutes, 50mb za internet n.k
 
leo epic nation ilikuwa mjini mtwara ambapo wamehudhulia wananchi kupita kawaida kuliko hata raisi akija watu huwa hawajai kwa kiasi nilichoshuhudia leo na nia yao kubwa me sijaiona zaidi ya kupoteza muda wa wanachi kwa kuwaangalia wanavyorukaruka sasa wana-jf nisaidieni malengo makubwa kama ni kuongeza idadi katika mtandao wao mbona muda mwingi ni mziki kwa kwenda mbele?

ni dalili ya ananchi kukata tamaa ya maisha na kujiletea maendeleo.
 
epic nation .ni huduma inayo mfaidsha mteja wa zantel yoyote aliye jiunga na huduma hyo.ukijiunga unapata 300 sms na 15 mins na 50 mb za net.kwa garama ya 500tu pia unapewa pin special unatakiwa uikariri .utaitumia bilcanas kuingia bure kila ijuma pia ukinuna burger 1 steers una pewa na nyingne bure pia cininmax unapunguziwa nadhan 50% marybrown 10% ya chochote utakacho nunua pia funcity kigamboni.yote hayo ni kwa garama ya 500 tu ambayo ita last kwa siku 3 ndio 500 nyingne ikatwe .na bado inakuwa thats all watu wa mikoa mingne na napewa kutokana na resource walzo nazo
 
Wabongo starehe tunazipenda ila mfuko umechacha. Yakija hayo mapromoshen na sisi ndio tunapata nafasi ya kuburudika na kung'aa sharubu.
 
Zantel wanapoteza muda tu. Makampuni mengine wanajitangaza na kushusha gharama na ubunifu wa huduma zingine kama[m pesa, tigo pesa] wao wamelala mtandao unazidi kudorora. Sijui nao wameingia ktk mseto ZNZ ?. Natabiri zantel kufirisika.
 
Back
Top Bottom