Nini Mapendekezo zako katika KATIBA MPYA YA TANZANIA

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Whether Katiba mpya itaundwa au la,lazima tujue wananchi wanataka nini

Lipi pendekezo lako
 
1.Mfumo unao eleweka wa kufadhili wanafunzi katika elimu ya juu.
2.Tume huru ya uchaguzi
3.madaraka ya raisi yapunguzwe
4.baraza la mawaziri liwe na idadi inayo eleweka sio kila raisi na wizara na idadi yake ya mawaziri
5,.........
 
1.Mfumo unao eleweka wa kufadhili wanafunzi katika elimu ya juu.
2.Tume huru ya uchaguzi
3.madaraka ya raisi yapunguzwe
4.baraza la mawaziri liwe na idadi inayo eleweka sio kila raisi na wizara na idadi yake ya mawaziri
5,.........

6. abolish death penalty
7. establishment of native empowerment kama chachu ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo ndani ya nchi, ondoa mkukuta kama subs
 
8.Nafikiri cha maana ,Teuzi zote za Rais ziwe confirmed na kamati za Bunge.
Waangalie CV,past experience na conflict of interests
9.Viti maalum vya wabunge 102+10 ,viwe abolished mara moja Kilango,Makinda na wengineo wapeprove kuwa hakuna upendeleo majimboni
 
11,Kuondoa immunity za RAIS ie kuface charges za corruption,kama zipo ,baada za kumaliza muda wake.

MKAPA alitakiwa kuface charges za corruption ,ie kufanya BIASHARA with IKULU adress
 
mmakonde... umeanzisha thread halafu haufuati mtiririko wa namba au ascending order.... speaker ameanza vizuri... please re arrange the ordre of you new constitution amendments
 
mmakonde... umeanzisha thread halafu haufuati mtiririko wa namba au ascending order.... speaker ameanza vizuri... please re arrange the ordre of you new constitution amendments

Thanks ,point taken
 
Tanzanians deserve consistent leadership.
  • We cannot run a country kneejerk style, where decisions are driven more by exigencies of the moment than principled policy frame!
  • keep cheap politics out of serious national issues
  • we don't want a government characterized by cynicism, arrogance, pushy crudity, bribery, broken promises, and drammatization!
 
Wagombea binafsi wa Urais na Ubunge waruhusiwe kugombea.
Wabunge wasiruhusiwe kuwa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa au Wilaya.
 
Maswala ya simple majority kwenye uchaguzi yafutwe!! Kuwe na provision ya uundwaji wa Serikali ya mseto ili kuwakilisha wananchi kwa haki.
 
Back
Top Bottom