Nini maoni yako kuhusu anayefaidika na ndoa??

Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
very good troll post madam.
 
kaunga umesema ukweli aisee!!!asante sana kwa ukweli huu hasa kwa wanaume...mtu anakondeana kama nini kwa sababu ya majumba madogo yao! well said!!
Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
 
Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
Kaunga weye unalo dumu?
 
Last edited by a moderator:
tatizo mm na hubby sote tuna ongezeka uzito sasa sijui tuko kundi gani manake wote vitabi vya bia na kiti moto usipime, na supu za kila siku asbh
 
mmmmmh ...tatizo wanaume wanazidisha matumizi ya miili yao
..Nje wanatumika sana ,ndani wanatumika ndo maana wananyonyoka

..haswaaaaaa.. maana ni full stress na majukumu ya nyumbani, small house na wengineyo..mwee mpaka huruma, wanawake hawanaga makuu yuko bize kuvifurahia vyake..
 
Back
Top Bottom