Nini maoni yako kuhusu anayefaidika na ndoa??

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,185
Katika pitapita zangu nimekutana nayo, hebu jaribu kutoa ukweli juu ya hizi picha na unafikiri nn kifanyike ili

pasitokee haya.

. 402303_279572468816077_1646566044_n.jpg
 
Ni mtazamo tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
 
Unaishi nchi gani wewe mama mkwe? vidumu si ndiyo vitaongeza mtandao? Hebu toa ushauri wenye akili kama wewe
 
wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
i do agreed with u
 
Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
KWELIIIIIII! maana na mi nna kajikitambi kwa kweli!
 
Kwa halaka haraka utaona kama mzaa lakini inamaana kubwa sana ukiingeuza kwa binadamu nimeipenda message send
 
Katika pitapita zangu nimekutana nayo, hebu jaribu kutoa ukweli juu ya hizi picha na unafikiri nn kifanyike ili

pasitokee haya.

.View attachment 68621
Mheshimiwa utafiti wako umeufanyia wapi? Nafikiri Kaunga yuko sahihi kusema hao ni wale wanaoongeza vidumu baada ya kuoa au kuolewa, kwa upande wangu nashukuru Mungu kabla sijaoa nilikuwa "slim" lakini baada ya kuoa nimekuwa bonge mpaka nimeanza "Diet" na mazoezi gym.
Mambo mengi nimeyapunguza baada ya kuoa hasa anasa kwakuwa sasa napata kila kitu chini ya dari tofauti na nilipokuwa bado "single" kwani nilishindwa kumkatalia demu anapokuja kwangu ama kunipa "ki-date" kwa simu, ilikuwa lazima nikatafune haluwa.
 
mmmmmh ...tatizo wanaume wanazidisha matumizi ya miili yao
..Nje wanatumika sana ,ndani wanatumika ndo maana wananyonyoka
 
Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?

wel said mamito nyumba ndogo zinamatumizi hadi wananyonyoka....... hahahahahhahah picha zimenifurahisha
 
Wasi wasi wangu sidhani ktk uhalisia wa maisha yetu haya ndo yanayotokea.
 
Dada yangu ni kweli unachokisema kama tunatumia mtindo wa jino kwa jino. Lakini sie akinamama si sawa na akinababa. Nakuapia mwanzo wa mmomonyoko wa maadali ya watoto majumbani mwetu ni kukosa uadilifu wa mama. Baba hata kama anarudi asubuhi, bado familia itakuwa na heshima bali kama mama ni ... basi nyumba nzima ni galegale

Wanaume waache kuwa over used wakiingia kwenye ndoa. Tatizo wengi wakioa ndipo huongeza idadi ya nyumba ndogo.

Na kina dada wapunguze uzembe, wafanye mazoezi ikibidi nao watafute vidumu ili watumike na na kuunguza calaries.

Au we unaonaje?
 
Unaishi nchi gani wewe mama mkwe? vidumu si ndiyo vitaongeza mtandao? Hebu toa ushauri wenye akili kama wewe

Ha ha ha, usiwe na wasiwasi mkwe; mwanangu amelelewa vizuri. Usiniambie unaamini hizo picha? Zingekuwa za ukweli nami ningetoa maoni yenye akili kdg. LOL
 
Back
Top Bottom