Nini majukumu ya waziri wa nchi ofisi ya rais-mahusiano ya jamii

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
nimejaribu ku-google/ku-search bila mafanikio. Kwa wanaojua (with reference/link) naomba mnijuze majukumu ya kiofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Mahusiano ya Jamii, nafasi inayoshikiliwa kwa sasa na Mh. Stephen Wassira (MB). Kwa nini nataka kujua? Nitaeleza baadae baada ya kupata hayo majukumu ya Waziri wa hii Wizara. Asanteni!!
 
Kuharibu mahusiano katika ukoo wa Nyerere (VN sio ukoo wa Nyerere)
 
Ki-ukweli hii idara chini ya ofisi wa Raisi haipaswi kuwepo Lakini kwa sababu MH.Raisi Jakaya Kikwete amekua akitoa Takrima kwa wananchama wapendwa wake ameweza kuhakikisha anaipachika ili kumridhisha Wassira ,Kama ujuavyo anatamba kwenye vijiwe vya pombe kwamba alisemalo ndilo Raisi analifuata na kwamba anaaminika sana usishangaye kuongezeka kwa kiburi chake ni hiyo nafasi aliyonaya
 
Kuzuia unyanyasaji wa wanyama kama huu........

chimp.jpg
 
Kusafisha maliwato ikulu na kufanya logistic ya chai,shortly ma_ps wote pale anawaratibu ndo maana wamejaa vibibi vya kijita...that'z wassira daily activities
 
Nafikiri ni kujenga maafikiano na mahusiono bora katika jamii, ili iwepo amani. Ila inategemea pia na uwezo wa kufikiri kwa mwenye hayo majukumu. Tanzania tuna matatizo ya kuelewa nini maana ya cheo, wengi hutafsiri kama shukrani na si majukumu.
 
Naomba link yenye sheria ya mwaka 1984 no.15 inayoonyesha masharti ya kazi za mawaziri. Kama ni pdf ni PM
 
Back
Top Bottom