Nini mahita kuna anold...~~

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
ANOLD 2.jpg ANOLD.jpg
kitu chapa..kweli rangi ya mkaa ni nyeusi....
 
Hahahahahaha:) Watoto wa njee ya ndoa kutoka FOTO COPY ya wazazi wao (wanaotaka kuingia mitini) huwa ni kawaida!!!! Hata wa Mahita simnakumbuka picha yake ilivyo TRUE COPY OF ORIJINO??!!!!!
 
Kuwa makini shossi ....i said kitu chapa

You said? mhnnn I am out.........by the way uso wa huyo mtoto ni wa duara kama wa mama yake na haujachongoka kama wa baba yake sema kwa kuwa ni baba yake he got some features au wewe unaona wazungu wote wanafanana kama tunavyowaona wachina?
 
Sema dingi kazeeka ngoja tutafute picha zake za awali tuzitupe humu ....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom