Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana. Pia naona wale wanaoliwa Tigo hawana uchafu, je wanafanyaje ku-empt nanii zao?
Nawasilisha!!
Hapo ndipo umuhimu wa Rev Masanilo unapo onekana..FREE Masanilo
kutoa kinyesi si ajabu kwenye kuzaa, WANAWAKE WOTE WANAOENDA LEBA HUWA WANATOA KINYESI KWANZA KABLA YA MTOTO. ndio maana ni lazima tuwaheshimu sana wanawake. kwa kifupi ni kwamba, mtoto anapotoka anabana utumbo mkubwa halafu anakamua kinyesi chote kinatoka, kikiisha ndo yeye anatoka...uliza madaktari...ukienda labour, ukisikia mama anasema "nesi nataka kwenye chooni"nesi anamwambia.. "" K.UNYA HAPOHAPO" nitazoa...ujue amejua kuwa mtoto sasa anakaribia.....wanaume wengi hatujui, ila wanawake tu ndo wanajua hili na huwa wanaweka siri...mamamkwe pia au ndugu yako yeyote aliyeenda na mkeo leba wakimaliza lazima atapewa vitenge vya kufua, mle kwenye vitenga mmejaa mav.i....hakuna mwanamke anayeenda leba asinye mavi....uliza wao watakwambia.Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma
Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.
Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.
Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.
Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.imatokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.
Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana
NB:
Ikiwa una maswali yoyote tafadhali waulize wauguzi na madaktari katika Zahanati iliyo karibu yako, watakusaidia kwa karibu zaidi.
kutoa kinyesi si ajabu kwenye kuzaa, WANAWAKE WOTE WANAOENDA LEBA HUWA WANATOA KINYESI KWANZA KABLA YA MTOTO. ndio maana ni lazima tuwaheshimu sana wanawake. kwa kifupi ni kwamba, mtoto anapotoka anabana utumbo mkubwa halafu anakamua kinyesi chote kinatoka, kikiisha ndo yeye anatoka...uliza madaktari...lazima atapewa vitenge vya kufua, mle kwenye vitenga mmejaa mav.i....hakuna mwanamke anayeenda leba asinye mavi....uliza wao watakwambia.
umeshuhudia wanawake wachache kuliko nilioshuhudia mimi. pia, uliza dr yeyote au nesi wa tz....pia usilinganishe wanawake wa ulaya na wa africa, wa ulaya wanakula vyakula vilaini na wa africa wanakula ugali, viazi, wali na ndizi....wa ulaya wana uelewa hivyo wanajua kuwa wakikaribia kujifungua wale vyakula vya aina gani, wa hapa afrika hadi siku ya mwisho kwenda leba wanakula ugali sahani zima......usidanganywe na izo za youtube ambazo mtu yeyote anaweza kuangalia hata hapa mimi nikibonyeza tu kama nimejisajili kuwa nina umri zaidi ya miaka 18 zinafunguka...hao wanakuwa wame edit sana mavi yasionyeshwe....kifupi ni kwamba, wote wanatoa ma.vi, mkeo ametoa ma.vi kama umeoa na una watoto, wazazi wetu pia walitoa kabla sisi hatujazaliwa...ndo maana laana ya mama ni balaaa..tuwaheshimu wanawake jamani....wana mzigo mzito.Hizo ni stori za mitaani tu, hakuna kitu kama icho... Ukiona Mama anajifungua na kutoa kinyesi basi ujuwe kuna tatizo hapo.
Mimi nimeshuhudia zaidi ya mara 20, wanawake wakijifungua, uku tulipo kuna vipindi LIVE vya wanawake wakijifungua, na hakuna swala la kutoka kinyesi kama unavyodai.
Afrika nimeshuhudia wadada wakijifungua, na hakuna kitu kama iko.
Si kweli maneno yako, binafsi nimeingia leba zaidi ya mara tano (5) na nimeshuhudia wanawake wakijifungua, tena uko uko Afrika (Bongo) na sikuwahi kuona hivyo vinyesi, na kuhusu youtube, sijawahi ona video kwa youtube, nilichokwambia ni kuwa kuna vipindi vya live show vya kuonyesha wakina mama wakijifungua, hao wanaotoa vinyesi wana matatizo yao.umeshuhudia wanawake wachache kuliko nilioshuhudia mimi. pia, uliza dr yeyote au nesi wa tz....pia usilinganishe wanawake wa ulaya na wa africa, wa ulaya wanakula vyakula vilaini na wa africa wanakula ugali, viazi, wali na ndizi....wa ulaya wana uelewa hivyo wanajua kuwa wakikaribia kujifungua wale vyakula vya aina gani, wa hapa afrika hadi siku ya mwisho kwenda leba wanakula ugali sahani zima......usidanganywe na izo za youtube ambazo mtu yeyote anaweza kuangalia hata hapa mimi nikibonyeza tu kama nimejisajili kuwa nina umri zaidi ya miaka 18 zinafunguka...hao wanakuwa wame edit sana mavi yasionyeshwe....kifupi ni kwamba, wote wanatoa ma.vi, mkeo ametoa ma.vi kama umeoa na una watoto, wazazi wetu pia walitoa kabla sisi hatujazaliwa...ndo maana laana ya mama ni balaaa..tuwaheshimu wanawake jamani....wana mzigo mzito.
wewe ni daktari? ulishawahi ingia leba hapa bongo, lini wakaruhusu kitu kama icho hapa bongo? madaktari na manesi waongee hapa, au tuache wanawake ambao wameshazaa waongee wao hapa....tuache ubishi...jamani kama kuna mwanamke aliyewahi kwenda kwenye zile leba za kajamb.a nani za mwananyamala, muhimbili au hospitali zote za selikali atueleze hilo....ili ubishi uishe...nikisema mimi, ni mwanaume hata nisemeje hamtaniamini....kwasababu si mzaaji.msiongelee wale wa aga khan etc ambao wanachukulia special care, na chumba binafsi.Si kweli maneno yako, binafsi nimeingia leba zaidi ya mara tano (5) na nimeshuhudia wanawake wakijifungua, tena uko uko Afrika (Bongo) na sikuwahi kuona hivyo vinyesi, na kuhusu youtube, sijawahi ona video kwa youtube, nilichokwambia ni kuwa kuna vipindi vya live show vya kuonyesha wakina mama wakijifungua, hao wanaotoa vinyesi wana matatizo yao.
wewe ni daktari? ulishawahi ingia leba hapa bongo, lini wakaruhusu kitu kama icho hapa bongo? madaktari na manesi waongee hapa, au tuache wanawake ambao wameshazaa waongee wao hapa....tuache ubishi...jamani kama kuna mwanamke aliyewahi kwenda kwenye zile leba za kajamb.a nani za mwananyamala, muhimbili au hospitali zote za selikali atueleze hilo....ili ubishi uishe...nikisema mimi, ni mwanaume hata nisemeje hamtaniamini....kwasababu si mzaaji.msiongelee wale wa aga khan etc ambao wanachukulia special care, na chumba binafsi.
unfortunately, haujui kama unayeongea naye ni doctor anayeshinda na wagonjwa kila siku, au ni mganga wa kienyeji kama wewe...so, tuachane na hili...waache wanawake waje wathibitishe, tukiongea sisi wanaume unaweza usiamini kwasababu unachokijua ni theory ulizosoma kwenye vitabu na si kushuhudia kwa macho.....labda kama na wewe ni doctor, na kama wewe ni doctor how come katika udaktari wako umewaona 20 tu? ndo maana nikakwambia mimi nimewaona wengi kuliko hao unaowataja hapo, kwahiyo nyamaza kimya kwasababu una lack knowledge.Ndio maana nikakwambia kuwa hujawai kuingia maternity ward, unacho kizungumza ni stories za mtaani tu, alafu angalia jinsi unavyo jichanganya sasa, mara wanawake wote, mara wale wa ulaya wanakula vyakula laini, wa Aga Khan wanapata special care, kuwa na msimamo, kama ni wanawake wote basi simamia hoja yako, kama unagawa mafungu, basi tufahamishe wapi na wapi...!
Ila kiukweli ni kuwa ukiona mwanamke anatoa kinyesi wakati wa kujifungua basi ujuwe huyo ana matatizo yake, maana si jambo la kawaida.
Hizo ni stori za mitaani tu, hakuna kitu kama icho... Ukiona Mama anajifungua na kutoa kinyesi basi ujuwe kuna tatizo hapo.
Mimi nimeshuhudia zaidi ya mara 20, wanawake wakijifungua, uku tulipo kuna vipindi LIVE vya wanawake wakijifungua, na hakuna swala la kutoka kinyesi kama unavyodai.
Afrika nimeshuhudia wadada wakijifungua, na hakuna kitu kama iko.