Nini madhara ya kula na kuliwa tigo?

Discussion in 'JF Doctor' started by tanga kwetu, Oct 12, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,321
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana. Pia naona wale wanaoliwa Tigo hawana uchafu, je wanafanyaje ku-empt nanii zao?
  Nawasilisha!!
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,017
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  Hapo ndipo umuhimu wa Rev Masanilo unapo onekana..FREE Masanilo
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze
  so acha kutuchosha yameshajidiliwa hapa tafuta uone kama unajiandaa kuanza achana na huo uchafu
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,017
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  Dr. unamshauri aanze kuliwa Tig:tonguez:
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,701
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  ...topic ya sasa iitwe TIGO revolution; na washiriki wawe TIGO all stars; au vipi?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,301
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  hakuna madhara yoyote
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,901
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 63
  Ukila tigo unafutuka mbele,
  ukiliwa tigo unafutuka nyuma
   
 8. Paul S.S

  Paul S.S Verified User

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,705
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  kabla ya yote jinsia yako plse
   
 9. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  Hii kali... :tonguez::tonguez::tonguez:
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,505
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  naogopa kuchangia.
  sijui nimefata nini huku
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,184
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Hao unaowaona wameshajikana na wako tayari kwa lolote. Si maisha halisi yale japo yanatamanisha sana. So tumia akili yako japo tanga ndio michezo yenu
   
 12. Djunior

  Djunior Senior Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Best sina chakuchangia, mada ngumu hii.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Wewe jaribu kuliwa hiyo tigo halafu utuletee ripoti.....kama infaa utaungwa mkono hakika....mimi sitakuunga mkono kwa sababu ni dhambi
   
 14. Djunior

  Djunior Senior Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Best sina chakuchangia, mada ngumu hii.
   
 15. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 18
  Mdau jitahidi kuushinda moyo!Tamaduni za mbele zinatuharibu,kumbuka zile ni movie wanakandamizana bt mwisho wa siku wanapata mapene!Me nakuomba kama hujaliwa wala hujala hilo jicho plz 2lia maana katika ile dhambi wakati inafanyika shetani anakuwa hakushawishi zaidi anakuwa anashangaa jinsi wanadamu tunavyojitungia dhambi pasipo kushawishiwa na ibilisi!in short shetani haipendi na anaiogopa dhambi hii! afu pia usijeleta mambo ya sodoma na gomola 2ache watoto wa Yesu 2jidai na ulimwengu wetu! nadhani ntakuwa nimekujibu kitaalamu swali lako!
   
 16. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  its realyy worst
  na madhara yake ni haya hapa

  kwanza inaweza kusababisha magonjwa ya zinaaa.
  pili.inasababisha kuregea kwa ****** kwa mwanamke.hence hata mavi atakuwa anashindwa kuyabana
  pia inaweza ikasababisha vidonda kwa msichana.c unjua wengine wakiwa wanatomba.wanapiga kwa sifa,hali hii inaweza ikasabab isha msichana atembee upande au asiweze kutembea kabisaa kwa siku hiyo yeye maumivu kwake

  PIA JAMANI TIGO IS NOT MEANT KWA KUGONGANA.HILE NI SEHEMU YA KWENDA HAJA KUBWA.
  MUNGU HAJAKOSEA KUUMBA K NA TIGO.

  ACHENI ULAFI NA KUJARIBU VISIVYOJARIBIWA
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You have proved to be the best among the good people.
  kweli hata shetani anatushangaa sana na dhambi zingine tunazofanya
   
 18. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 878
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18

  Watu wa tanga na jilani zenu wa mombasa ndio zenu kulana tigo. Ukitaka kujua madhara kama umeo wee mle tigo mkeo afu mpe mimba kisha wakti wa kuzaa omba nawe uwepo ndo utaona madhara yake.

  Use proper tool for proper job
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 41,074
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 48
  Maandiko matakatifu kwenye Biblia yanasema hivi:

  LEVICITUS 18:22 "No man is to have sexual relation with another man. God hates that."

  Linalomchukiza Mwenyezi Mungu kwenye utakatifu wake kamwe usilijaribu kwani atakulaani wewe na vizazi vyako na hamtakuwa na mafanikio kwenye nyanja zozote zile na siku zenu za kuishi duniani zitapunguzwa maradufu.
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,866
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma

  • Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.

  • Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.

  • Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.

  • Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.i—matokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.

  • Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana

  NB:
  Ikiwa una maswali yoyote tafadhali waulize wauguzi na madaktari katika Zahanati iliyo karibu yako, watakusaidia kwa karibu zaidi.
   
 21. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #21
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,342
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli.
   
 22. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #22
  Oct 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,321
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  .......???????????????
   
 23. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #23
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,104
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Shndwa ktka jina la Y...
   
 24. s

  special agent JF-Expert Member

  #24
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jaribu ili upate uhakika tena itapendeza kama wewe ukiliwa
   
 25. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #25
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 488
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  90% ya wanaokula TIGO anapofikia umri wa miaka 50 huwa wanapata ugonjwa wa kuziba mrija wa kutolea mkojo na cancer ya kibofu cha mkojo. Sababu: Wakati unapokula TIGO na kukaribia kukojoa shahawa, intraurethal pressure huwa inaongezeka na uretha (mrija wa mkojo) huwa unatanuka na kuwa mpana kiasi cha kuweza kuvuta chembechembe za mavi na kuingia kwenye mrija wa mkojo, hizi chembechembe zikirundikana sana huwa zinakuwa nyingi na kusababisha mrija kuziba na zikikaa kwa muda mrefu sana zinasababisha caner kuanzia kwenye mrija hadi kwenye kibofu cha mkojo.

  Ukiliwa TIGO, sphinter zinacontrol haja kubwa isitoke na kurundikana kwenye rectum huwa zinalegea, zikisha legea tu unashindwa kuweza kucontrol haja kubwa na inaweza kukutoka bila ya wewe kujijua, kwa mwanamke huwa hina madhara sana, huwa wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida, kila akisukuma mtoto, haja kubwa inamtoka bila taarifa.
   
 26. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #26
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii thread ina viewers karibu 2500.....whats so special here?i can smell something
   
 27. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #27
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 1,876
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  aisee afadhali alifungiwa. Abarikiwe aliyeenforce sheria za JF juu ya huyu ndugu stuborn
   
 28. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #28
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,569
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kutoa kinyesi si ajabu kwenye kuzaa, WANAWAKE WOTE WANAOENDA LEBA HUWA WANATOA KINYESI KWANZA KABLA YA MTOTO. ndio maana ni lazima tuwaheshimu sana wanawake. kwa kifupi ni kwamba, mtoto anapotoka anabana utumbo mkubwa halafu anakamua kinyesi chote kinatoka, kikiisha ndo yeye anatoka...uliza madaktari...ukienda labour, ukisikia mama anasema "nesi nataka kwenye chooni"nesi anamwambia.. "" K.UNYA HAPOHAPO" nitazoa...ujue amejua kuwa mtoto sasa anakaribia.....wanaume wengi hatujui, ila wanawake tu ndo wanajua hili na huwa wanaweka siri...mamamkwe pia au ndugu yako yeyote aliyeenda na mkeo leba wakimaliza lazima atapewa vitenge vya kufua, mle kwenye vitenga mmejaa mav.i....hakuna mwanamke anayeenda leba asinye mavi....uliza wao watakwambia.

  MADHARA YA TIGO, ni kwamba, mwanamke akienda leba, akitaka kusukuma mtoto, break za tigo zinakuwa zimelegea hivyo zinatoa hewa ovyo na pumzi badala ya kubanwa inatokea tigo tu na mtoto anashindikana kusukumwa, matokeo yake wanaweza kuingiza kwenye tigo vitenge hata viwili vitatu ili kuzima tigo na uwezo wa kusukuma mtoto upatikane....tigo pia inaziba mirija ya uzazi ya mwanaume kwa chembechembe za m.avi.....tigo ni mbaya sana....sijawahi kula tigo na sitakuja kufanya dhambi hiyo.
   
 29. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #29
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,866
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  Hizo ni stori za mitaani tu, hakuna kitu kama icho... Ukiona Mama anajifungua na kutoa kinyesi basi ujuwe kuna tatizo hapo.

  Mimi nimeshuhudia zaidi ya mara 20, wanawake wakijifungua, uku tulipo kuna vipindi LIVE vya wanawake wakijifungua, na hakuna swala la kutoka kinyesi kama unavyodai.

  Afrika nimeshuhudia wadada wakijifungua, na hakuna kitu kama iko.
   
 30. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #30
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Chochote kile alichokikataza MUNGU kina madhara
   

Share This Page